vema

Vema Seamount is a seamount in the South Atlantic Ocean. Discovered in 1959 by a ship with the same name, it lies 1,600 kilometres (1,000 mi) from Tristan da Cunha and 1,000 kilometres (620 mi) northwest of Cape Town. The seamount has a flat top at a mean depth of 73 metres (40 fathoms) which was eroded into the seamount at a time when sea levels were lower; the shallowest point lies at 26 metres (14 fathoms) depth. The seamount was formed between 15-11 million years ago, possibly by a hotspot.
The seamount rises high enough that its summit is at shallow depth, allowing sunlight to reach it and thus permitting the growth of kelp and algae. A number of sea animals and fish are encountered on the seamount; active fisheries existed at Vema Seamount and caused the disappearance of some animal species.

View More On Wikipedia.org
  1. Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet. Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
  2. P

    Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa, Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo! Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
  3. Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona". Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
  4. B

    Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  5. Nnauye: Viongozi wakielewa Uchumi wa Kidijitali, wataendesha vema taasisi za Serikali ili kuendana na ukuaji wa uchumi

    SERIKALI YAENDESHA MAFUNZO YA KUJENGA UELEWA KUHUSU UCHUMI WA KIDIJITALI Na Prisca Ulomi na Semu Mwakyanjala, WHMTH, Zanzibar Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendesha mafunzo ya kujenga uelewa kwa viongozi wa Serikali kuhusu uchumi wa kidijitali Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali...
  6. Kama harusi imehairishwa ni vema nikadai mchango nilioutoa?

    Naombeni ushauri wakuu kama mnavyojua tarehe mbaya hizi hapa nilipo nimenasa haswa Sina hata mia yaani ikitokea ghafla bill ya maji au umeme naaibika maana kila ninayemgusa analia njaanuary kapeleka watoto shule. Back to the topic Kuna group letu la shule kuna jamaa yangu tumemchangia mchango...
  7. K

    Hivi viongozi huwa wanakisoma vema hiki kiapo cha maadili?

    Siku zote mara baada ya uteuzi, viongozi huwa wanaapisha. Na wakishaapishwa mmoja mmoja kuna kiapo kingine, wenyewe huita ahadi ya maadili huwa wanakiimba wote. Lakini ukiisoma ahadi hiyo kifungu kwa kifungu utagundua kuwa huenda viongozi wengi huwa hawafuata wala kuzingatia yaliyomo. Serikali...
  8. Youtubers wa Tanzania ni vema wakatambuliwa na kuthaminiwa

    Kunekuwa na muamko mkubwa kwa vijana wanaofanya online content creation kwa upande wa YouTube. Nafikiri ni muda sasa wa kuunganisha watu pia kupata wawakilishi katika midahalo mbalimbali na kuitambulisha ili kuchukuliwa kama ni kitu cha msingi kinacho fanywa na vijana. Pia kupata wawakilishi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…