uzalendo wa kweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

    Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED! Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile...
  2. CHAGOSI GERALD

    Uzalendo wa kweli: Kati ya majigambo na lawama

    Katika zama ambazo kila jambo linapimwa kwa miwani ya kisiasa, uzalendo umegeuzwa kuwa silaha ya mivutano badala ya kuwa daraja la mshikamano. Tanzania, kama nchi yenye historia ya mapambano ya ukombozi na mshikamano wa kitaifa, ina kila sababu ya kuenzi dhana ya uzalendo. Lakini swali linabaki...
  3. Pascal Mayalla

    Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao

    Wanabodi Makala yangu Gazeti la Mwananchi la Jumatano hii. TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani Jumatano, Januari 08, 2025 By Paschal Mayalla Japo makala zangu zinajikita zaidi kwenye mada za kikatiba, kisheria na haki, lakini mara mojamoja pia ninaingia kwenye mada za kisiasa...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Kukosekana kwa uzalendo wa kweli miongoni mwa Watanzania ndio sababu ya CCM kushinda kila uchaguzi. Nov 2024 CCM itashinda, Oct 2025 itashinda tena

    Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila kujali cheo, hali au mali alizonazo ikiwa tu mtu huyo atahatarisha au kuweka rehani mali za umma...
  5. K

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
Back
Top Bottom