uwanja wa benjamin mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  2. Mafyangula

    Serikali yakamilisha ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Bilioni 31.3

    Haya wakulugwa uwanja wa Mkapa umeipiga serikali pesa zote hizo ila bado aonekani kama umefanyiwa ukarabati wa bei hiyo. Hatujapigwa kweli na wajanja wa mjini waliko kwenye mifumo? ================= Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin...
  3. Just Pray

    Hii ndiyo foleni ya mashabiki wa Simba wanaosubiri kuingia uwanjani muda huu

    Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wakisubiri kuruhusiwa kuanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam ili kushuhudia tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025
  4. chiembe

    Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

    Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza. Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu. N. B. Media house ziombe tour ndani ya uwanja...
  5. DELETED ACCOUNT

    Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  6. Waufukweni

    VIDEO: Waziri Mkuu Majaliwa akagua Uwanja wa Benjamin Mkapa, adai ''hatuingilii maamuzi ya TFF, CAF wala FIFA''

    Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea na kukagua miundombinu ya Uwanja wa Benjamin William Mkapa ikiwepo Viti vipya vilivyofungwa na eneo la kuchezea (Pitch).
  7. JanguKamaJangu

    Waziri Kabudi amteua Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amemtangaza rasmi Bw. Rashid Mijuza kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kumhamisha na kumpeleka Makao Makuu ya Wizara hiyo aliyekuwa Meneja wa Uwanja huo Bw. Malinde Mahona ambaye atakuwa msimamizi wa...
  8. Waufukweni

    Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo inatangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia leo tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la...
  9. Abraham Lincolnn

    Tazama pitch ya Bilioni 31 iliyoidhinishwa tangu mwaka 2023 na mgombea urais wa CCM anayetaka kurudi ikulu kwa mara ya pili

  10. NALIA NGWENA

    Kwa nini Uwanja Wa Benjamin mkapa Kila siku UNAKARABATIWA Lakini mvua ikinyesha unalitia aibu Taifa?

    Nimesikitika mno kuona Ligi yangu inayosifika Kuwa iinashika nafasi ya tano kwa ubora Africa timu zake kubwa Yanga SC na Simba SC likija suala la kimataifa wanacheza kwenye Jaruba lililojaa maji. Miundombinu ni mibovu sana hata Al masry wamefungwa kwa Sababu ya Uwanja MBOVU.
  11. PLOII

    Kama nchi hii aibu ya uwanja wa Benjamin Mkapa tutajificha wapi?

    Umofia Wana Jukwaa ! Kama Mada ilivyo, nawaza hivi huu uwanja huyo Mkandarasi anayejenga hakujua kuwa ball linatembea kwenye pitch sio vyoo? Naibu Waziri wa Michezo nimekuona unachukuwa Video ni imani yangu umechukuwa sehem ya pitch. Kiukweli tuwe serious na mambo yetu Al Masry wana haki ya...
  12. chiembe

    Hii pitch ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio itatumika kwa michuano ya CAF 2027? Imejaa matope

    Mechi za CAF zitakuwa za mfululizo, lakini naangalia mechi ya Simba na mwarabu, uwanja una vipande vya matope
  13. Waufukweni

    CAF wairuhusu Simba SC kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa michezo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ruhusa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kutumika kwa michezo ya robo fainali na nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) kwa msimu wa 2024/2025. Ruhusa hii imekuja baada ya ukaguzi wa...
  14. Labani og

    Mashabiki wa Yanga wakusanyika kusubiri hatma ya Kikao nje ya uwanja wa Benjamin Mkapa, wagoma kucheza Kariakoo Derby

    Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8. Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
  15. Mowwo

    Kwanini uwanja wa Benjamin Mkapa unatumika kwa matumizi yasio ya Mpira?

    Wakuu nimewaza Kama uwanja/pitch inatumika kwa matumizi kama mikutano na matamasha kwanini pitch isichoke? Mfano, matamasha ya kidini (waislam & wakristo) kwanini wanaruhusiwa kufanyia pale? Uwanja unaingiza mapato makubwa wanashindwaje kumaintain mambo ya uwanja? Je ni lini uwanja utakua...
  16. Ubaya Ubwela

    Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April Huu...
  17. Fbn

    Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu sababu wote mnatumia uwanja mmoja

    Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua Simba na Yanga. Ila yote kwa yote ni kwamba Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
  18. Ojuolegbha

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
  19. Dr Matola PhD

    Kwenye mashindano ya Quran kwa wasichana nimeona kamari ikichezeshwa. Je, Uislamu unaruhusu kamari?

    Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia. Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
  20. BARD AI

    Serikali: Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utagharimu jumla ya Tsh. Bilioni 31 hadi kukamilika

    Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa Mkandarasi Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni...
Back
Top Bottom