uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Dodoma: Wana CCM msiogope kuitwa chawa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai Katiba Mpya hadi kaulimbiu ya "No Reform, No Elections" (Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi). Kupata...
  2. PreGE2025 UVCCM kuandaa Kongamano Kuu kueleza Mafanikio ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya...
  3. PreGE2025 Shamira akabidhi kompyuta na printa kwa UVCCM Mkoa wa Shinyanga

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira alitembelea ofisi ya UVCCM Mkoa wa Shinyanga kufanya kikao...
  4. PreGE2025 Katibu UVCCM Dar Athuman Egobano aongoza maandamano ya kuhamasisha vijana kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura

    Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam ndugu Hussein Athuman Egobano Amepokelewa kwa shangwe na Hamasa Kubwa ndani ya Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika...
  5. PreGE2025 Katibu UVCCM Dar atembelea Vijiwe na Vikundi kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura

    Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa Vijana wa Kisukuru na Kutembelea Vijiwe na Vikundi mbali kuhamasisha Kujiandikisha katika Daftari la...
  6. PreGE2025 UVCCM Geita: Tutawalinda na Kusaidia Viongozi Wanaojenga Chama

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita umeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwalinda na kuwaunga mkono viongozi wanaojitolea kujenga na kuimarisha chama, ikiwemo kusaidia ujenzi wa ofisi za chama katika maeneo mbalimbali. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  7. J

    UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu kufanya Mkutano Mkuu maalum Machi 16, Dodoma

    Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
  8. Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  9. PreGE2025 Kijana wa UVCCM anasema bila CCM Kariakoo isingekuwepo kama ilivyo sasa, kulikuwa na vibanda vya nyasi

    Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia 3 kata ya Kimara, anasema Kariakoo zamani ilikuwa na vibanda vya nyasi tu. Pia soma: Pre GE2025...
  10. PreGE2025 UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania. Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona...
  11. Katibu UVCCM Pwani atembelea wanufaika mikopo asilimia 10

    Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Pwani Comrade Iddi Ntonga amefanya ziara yake ya kazi wilayani bagamoyo ambapo ametembelea vikundi ambavyo vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 ya vijana unaotolewa na halmashauri zote nchini. Pia ametembelea vikundi vya waendesha Pikipiki...
  12. PreGE2025 UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform, No Election’ ni waongo, akidai kuwa hufanya vikao vya siri vya kuwaandaa watu kugombea nafasi...
  13. W

    PreGE2025 Wakati CHADEMA wakiendelea na no reform no election, UVVCM wanasema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni pigo la "Radi" kwa wapinzani

    Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October. === Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la...
  14. PreGE2025 Shamira Mshangama atoa mchango wa tofali na saruji kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Dodoma

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya simenti kwa Mwanyemba kwenye ujenzi wa nyumba hio ya katibu wa UVCCM mkoa wa Dodoma ambayo iko katika...
  15. PreGE2025 UVCCM yatakiwa kuandaa kambi za mafunzo kwa Vijana kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza kuwajenga na kuwafunda Vijana kuwa Wazalendo katika Taifa kuelekea Uchaguzi mkuu. Kupata matukio na...
  16. PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Geita: Boda boda Nyang'hwale msijihusishe na shughuli za kiuhalifu

    Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  17. PreGE2025 UVCCM Geita, wamewataka Wabunge na Madiwani wasijihalalishie Mitano tena

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao kuacha mara moja kwani ni kosa kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  18. PreGE2025 Naibu katibu UVCCM Taifa, Mwatikinya: Ushindi kwa CCM sio ombi ni lazima. Hakuna Chama kinaweza tatua shida za Wananchi zaidi ya CCM

    Naibu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM Taifa bara, Mussa Mwatikinya amesema ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwaka huu ni lazima na wala sio ombi. Akizungumza leo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro katika uzinduzi wa kambi la Vijana wa jumuiya...
  19. PreGE2025 Wazee maarufu Geita wakabidhi fimbo na kuku kwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa

    Ni Video ikimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo akikabidhiwa Fimbo ya ushindi pamoja na Kuku aina ya Jogoo na wazee maarufu Baada ya kuwatembelea katika kukagua uhai wa chama hicho sambamba na kuhamasisha vijana kushiriki katika...
  20. D

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…