Naam wakuu
=========================
Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando...
Aisee kuna sisi tunachelewa sana kurudi nyumbani hivyoo ata muda wa kukaa kuangalia Tv inakua shida. Sasa binafsi hua mara nyingi najikuta natazama taarifa ya habari ya UTV Ile ya Azam saa 6 marudio ya Ile ya saa 2. Baada ya taarifa ya habari Kuna kipindi kinafuata kinaitwa Playlist.Host wake...
Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV.
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini...
Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.
Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!?
Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
Wale wengine walikuwa broadcasted tangu day one ila ilivyofika mkutano wa chadema nafikiri ni chaneli moja ndio tu ilianza nao.
Sijui ni hofu, sijui ni ushabiki wa mmpande moja??
Anyway life goes on!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.