utt

James Boyd Utt (March 11, 1899 – March 1, 1970) was a conservative Republican U.S. representative from Orange County, California, from 1953 until his death from a heart attack.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu mfuko wa Hatifungani (Bond) wa UTT AMIS

    Eid Mubarak. Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS. Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje? Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa? Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
  2. A

    KERO Je, UTT AMIS kuna kitu kinafichwa bila sisi wanachama kujua?

    Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026. Sasa tatizo lililopo ni kwamba taarifa zetu hazijahamishwa automatic toka kwenye mfumo wa zamani kuja kwenye mfumo huu wa sasa...
  3. A

    KERO Huduma za UTT ni mbaya sana siku hizi

    Huduma za UTT ni mbaya sana hivi sasa. Watu hawawazi access funds zao wana kuwekeza kwa uaminifu sababu App haifanyi kazi na tukipiga simu tunaambiwa tutarejewa bila mrejesho. Ssa sisi ni wawekezaji au ombaomba?
  4. Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

    Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote 2. Faida zao zikoje 3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
  5. M

    Nina 40M ninunue hisa CRDB, NMB au niwekeze UTT?

    Habar wakuu Nimekuja kwenu nina akiba hapa ya Milioni 40 Nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoefu wa uwekezaji mpo Nishaurini kati ya kununua hisa CRDB, NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina...
  6. Mlioweka Pes UTT Amis kazitoeni haraka sana mnaenda kulia

    Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
  7. KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

    Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution. Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama deni. Najua hata humu JF wapo watakuja kujitetea ila uliza wateja wa UTT watakwambia. Mfano hela...
  8. UTT acheni ubabaifu kuhudumia wateja

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu kama pesa hakikisheni mnafanya kazi zenu kwa weledi.Dunia iko kidijitali lakini mnafanya makosa...
  9. Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kuweka pesa utt amis

    Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
  10. UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  11. Challenge ya kusave pesa UTT

    Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge. Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40. Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa...
  12. W

    Msaada kuhusu UTT , Treasury Bonds/Bills na Fixed deposit accounts

    Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000/= , natanguliza shukran.
  13. Balozi Thabit Kombo: Diaspora wawekeza bilioni 7.5 UTT - AMIS

    DIASPORA WAWEKEZA BILIONI 7.5 UTT - AMIS Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
  14. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
  15. Z

    Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  16. Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

    Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT?? Na hili ndilo jibu lake. Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit. FAIDA FUND. UTT Anyway:- Tuendelee kutafuta hela #YANGA_BINGWA #YNWA
  17. T

    Naomba msaada kwenu wadau wenye uzoefu

    Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT?? Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
  18. S

    Uwekezaji Katika Mfuko wa JIKIMU UTT

    Habari wadau wa UTT, Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2, quoter 3 na quoter 4? na je hicho kiwango huwa kinawekwa muda gani mfano miezi mitatu ya mwanzo bimana...
  19. M- wekaeza Vs UTT

    Kuna wadau waliomba kujua toafuti ya M-wekeza, ipi bora , n.k Nitaeleza kwa ufupi kwa wale wanaohitaji kupata hivyo visenti basi wanufaike. UMILIKI UTT AIMS nishirika la umma M-wekeza ni mradi wa Vodacom na Sanlam ambayo ni mashirika ya kibinafsi FAIDA NA HASARA Faida ya M-wekeza ni hadi 13.%...
  20. Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…