Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,
Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa...