utpc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Fellowship ya Miezi 9 kwa Waandishi wa Habari wanaopendelea uandishi wenye maslahi kwa umma (PIJ)

    Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: https://fellowship.utpc.or.tz/auth Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania UTPC lipeni mishahara bila masharti

    Kwanza nawapongeza UTPC kwa kupata fedha ambazo pia zitatumika kulipa waratibu. Hilo ni jambo jema sana hakika mnstahili pongezi. Lakini kilichonileta hapa ni baada ya kupokea barua kutoka UTPC ikitoa maelekezo kwa sisi viongozi wa Klabu tujaze fomu za maelezo (kama inavyoonekana hapo chini) na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kenneth Simbaya lipa Stahiki za waratibu na ujiuzulu UTPC

    Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara na stahiki nyingine za waratibu wa Press Clubs ambazo zilitakiwa kulipwa hadi kufikia Desemba 31, 2025. Mishahara hiyo ya miezi minne ikiwa imeambatana stahiki zao za kusitishiwa mikataba na michango ya NSSF. Niliona maandiko kadhaa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UTPC malizaneni na waratibu wenu kuhusu ukiukwaji wa ajira, kutolipwa mishahara, bima ya afya, michango ya mafao

    Nimesoma taarifa hii nachelea kusema kuwa Kenneth Simbaya amalizane na hao waratibu. Hii ni aibu na fedheha kwa Taasisi kubwa nchini. --- TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI ZA AJIRA, KUTOLIPWA MISHAHARA, BIMA YA AFYA, MICHANGO YA NSSF/ZSSF NA MASUALA YA KODI KWA WARATIBU Sisi Waratibu...
Back
Top Bottom