utoro mashuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania KIGOMA: Wazazi Kasulu washauri kubadilishana zamu kupunguza Utoro Shuleni

    Sehemu ya pili ya makala hii iliweka wazi chanzo kikuu cha tatizo la utoro wa wanafunzi zaidi ya 2000 kuacha masomo kila mwaka, ifikapo msimu wa kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu kuwa ni mitazamo hasi ya jamii juu ya elimu, ikichanganywa na changamoto za kiuchumi, miundombinu na...
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Kambi za kilimo Kasulu zinavyochochea utoro shuleni

    Kasulu. Licha ya kilimo kuwa shughuli kuu ya uchumi kwa wakazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, ikiwahakikishia usalama wa chakula na kipato kwa kuuza mazao, shughuli hiyo sasa inatishia hatima ya elimu kwa baadhi ya watoto wilayani huyo. Hiyo ni kutokana na baadhi ya wazazi kutelekeza watoto...
Back
Top Bottom