utopolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014. Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
  2. Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  3. Uongozi wa Yanga Malizaneni na Mzee wa Utopolo

    Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi...
  4. Kutana na Dogo aliyegoma kuwa Utopolo

    Hii ni weekend sihitaji vitu vigumu. Nimekuletea dogo aliyegoma kuwa Utopolo kama Kilimbatz Hivi nini hutokea mpaka mtu anakuwa Yanga?
  5. Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

    Mi naanza kwa kuweka picha za Aziz 🔑 🗝 🔐 day Uzi tayari
  6. Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  7. M

    Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

    Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz. Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
  8. Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

    Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'. Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni.. Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
  9. Hivi Utopolo kula ugali kwa sukari kumewasaidia nini??

    Wale Jamaa pale Kwa Mnyamani na li ugali lao kuuubwa walilopika na kula kwa sukari. Wamepata faida gani kimpira zaidi ya kula ugali wakiwa gongo wazi?? Manara aliwahi kusema kuwa Yanga kuna watu wawili tu wenye akili (hata yeye hana), yaani baba yake mzazi na Mzee Jakaya.
  10. Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

    FT: TP Mazembe 0-2 Monastir Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke. Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako. Angalia hapo...
  11. Deportivo de Utopolo wakiongelea mechi ya jana, huyu kasema ukweli

    "Hawa wawili wameingiza goli mbili lakini kwa mbinde sana" Dah nimecheka sana!
  12. Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

    Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1. Timu lao bovu msimu huu.
  13. The Lords of the rings: The Rings of power ni utopolo sana.

    imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika. Wanasema imevunja rekodi ya kuwa series ya gharama zaidi, kweli pesa si kila kitu.
  14. Ukishabikia Simba umebarikiwa

    Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao ukishabikia simba umebarikiwa hauna dhambi na tuna mzungu saivi hatari #mashakasaidibeneumboyo
  15. N

    Diamond avuruga press ya utopolo makanjanja yaingia mitini

    Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya kumchamba Karia na TFF, guess what, Bavicha walipata mic moja tu woote walikuwa kwa Alhaji Takadini Leo...
  16. N

    Wakati wanazi wa simba tunasikitika kuanzia chekechea na utopolo embu wafikirie Zamalek jamani

    Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
  17. N

    KAMA NI KWELI HUU UFUNGUO UTAIPASUA SANA UTOPOLO MSIMU HUU

    Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko ***Sharti la...
  18. Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

    Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ... Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
  19. Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

    Timu underdog inaipangia CAF ianzie ugenini
  20. N

    Ni ngumu kuwafunga Yanga fainali kwa hali ilivyo

    Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye. Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…