utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la kutoridhika na utendaji wa serikali

    Kumekucha! Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona: 1. Zinazoitwa tozo za uzalendo, 2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye mafuta ya vyombo vya moto, 3. Ongezea la nauli za mabasi na usafiri kwa ujumla kutokana #2, 4...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini utendaji kazi wa Raisi unapimwa kwa kipimo cha siku 100 na sivinginevyo?

    Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake. Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

    Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…