utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS. Introduction ya Mada Hii ni mada very...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea. https://www.instagram.com/reel/DKMTCIwtj3l/ Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika, Hussein Bashe amedai kuwa amefahamishwa na baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndiye suspect namba moja kupotea kwa Ben Saanane?

    Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale. Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani. Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi. Sasa hivi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

    Wanajamvi niwasalimu kwanza. Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka. Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…