utekaji na upoteaji watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    GE2025 Kampeni za Samia na chama chake hakuna sera hata mmoja kuhusu kupambana na utekaji. Je wamebariki haya?

    Tangu zimeanza kampeni za chama tawala CCM sijasikia katika sera zao kuhusu kupambana na kumaliza tatizo kubwa la watu kutekwa na hata kuuwawa. Ambapo hadi sasa kuna matukio mengi ya utekaji na watu kupotezwa kabisa yameendelea kupamba moto. Hadi sasa aijulikani alipo Polepole, Mdude, Soka n.k...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polepole: Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa. Ila ukombozi unakuja

    Polepole: Tunataka kufanya ukombozi wa hatima ya nchi yetu ambayo hatima hiyo imekubikwa na giza nene Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Polisi: Paul Chuwa (Kiduku) tunamshikilia kwa tuhuma za makosa ya Kimtandao

    Haya Polisi wanachekesha sana! Yani mpaka watu wapige kelele wao ndio wanatoa kusema wamemchukuwa wao Na hayo makosa ya kimtandao mbona kama yamekuwa mengi au kisa wanaikosoa serikali? ================ Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetoa taarifa ya kumkamata mtuhumiwa mmoja...
  4. Msanii

    Jaribio la polisi kumkamata Dkt. Slaa kuelekea maandamano ya Septemba 23, 2024 lashindwa

    Leo ahsubuhi, mnamo saa mbili Polisi wakiwa katika mavazi ya kiraia walifika nyumbani kwa Dkt, Slaa kwa nia ya kumchukua. Dkt Slaa ambaye wakati huo alikuwa anasikiliza maoni ya Watanzania kupitia Club House akatoa taarifa mapema kwa baadhi ya Wanadiaspora, ambapo kelele zikaanza kupigwa...
  5. Influenza

    Mzee Upako: Biblia inaruhusu kuteka na kuua waliokula kiapo na hawashtakiki siyo wanaokosoa serikali

    Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”...
  6. Heparin

    PreGE2025 Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika

    Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua. Amesema ujumbe huu utumike kama rejea rasmi ya kuwashtaki polisi hata ikitokea siku moja hayupo Duniani. Stori ya...
  7. Erythrocyte

    Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Waliotekwa na kupotea Waitwa kwenye Ofisi za CHADEMA Mikocheni

    Tangazo la Meya Mstaafu wa Ubungo hili hapa, Ukisoma Waambie na wengine waliopotelewa na jamaa zao
  8. Bila bila

    Nawasihi Watanzania tuache kujiteka

    Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate...
Back
Top Bottom