utekaji kwenye uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Leo serikali na vyombo vya Dola nataka kusema nanyi hasa kuhusu suala la Utekaji

    Hamjambo! 1. Binafsi Niko salama salimini. 2. Oooh! Robert unajua unazungumzia nini? Unaushahidi wa unachozungumza? 3. Sikiliza. Moja ya mambo yaliyotufikisha hapa tulipo nje ya madai mengine ya Haki(zingine) ni suala la Utekaji. 4. Nilisema, utekaji sio mbinu bora ya kushughulikia matatizo...
  2. Its Tesha

    GE2025 Kawaida: Polepole ameamua kuichezesha familia, madai ya kutekwa ni kuishiwa mbinu za kuichafua dola

    Ameandika Chawa wa CCM na Mwenyekiti umoja wa vijana wa UVCCM Mohamed Kawaida Kupitia ukurasa wake wa Instagram. My take Taifa lina kijana kama huyu ambaye uwezo wake wakufikiria umeishia hapa hakika mwisho wake sio mzuri. "Inaelekea Polepole ameamua kuichezesha familia yake filamu...
  3. Sifi Leo

    GE2025 Ilani ya CCM inasemaje kuhusu utekwaji na kuuliwa kwa watanzania?

    Mh Rais Samia ilani ya ccm inasemaje kuhusu utekwaji na kuuwa kwa vijana wa kitanzania? Lejea mdude, SOKA shyrose na wenzake? Je vijana msio na ajira mtampa ajira Samia Suluhu hassani?
  4. Fascinating

    Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima 2025: Ukweli, Uponyaji, na Utu

    Leo, Agosti 30, ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima (Enforced Disappearance). Siku hii, iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2010, inalenga kuongeza uelewa kuhusu ukiukwaji huu mkubwa wa haki za binadamu na kutoa wito wa uwajibikaji. Mwaka 2025...
  5. McLaren

    PreGE2025 Chawa wa CCM Kinondoni: Mama Samia ana moyo wa huruma sana, kuteka maji tu hawezi ndo anaweza kumteka mtu?

    Wakuu, Yaani hawa watu wanasifia hadi wanaharibu. Na huyu anavoonekana hajatumwa. Yaani kaamua tu kusema ili aonekane na watawala apate chochote
  6. Mindyou

    Mfanyabiashara apotea Katoro kwa siku 19, mumewe anamtafuta

    Mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo na mifugo, Yohana Zakaria, mkazi wa Katoro mkoani Geita, anaendelea kumtafuta mkewe, Tatu Kimori, ambaye alitoweka nyumbani tangu Machi 2 mwaka huu. Tatu, mwenye umri wa miaka 46, alimuaga mume wake akielekea Sirari Mkoani Mara kwa ajili ya kufuatilia mzigo...
  7. W

    PreGE2025 CHADEMA, RC Mwanza na Polisi wajadili madai ya kutekwa kwa Katibu wa BAVICHA, Watatu wakamatwa

    Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha ni maofisa wa polisi. Manengelo anadaiwa kutoweka Februari 14, 2025...
  8. Waufukweni

    Mbunge Msambatavangu ataka Serikali itoe majibu kuhusu masuala ya Utekaji wa Watu

    Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi na lilitakiwa kujibiwa na Naibu Waziri Daniel Sillo. Lakini Spika wa Bunge Dkt...
  9. Mindyou

    Jeshi La Polisi mkoa wa Kusini Unguja lathibitisha kifo cha Askari wake ambaye alitoweka tangu mwezi Agosti akiwa msituni

    Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
  10. Waufukweni

    Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa. Amesisitiza haja ya...
  11. T

    Kama masuala ya utekaji yameanza mapema hivi, kipindi cha uchaguzi hali itakuwa mbaya mno. Polisi chukueni hatua thabiti

    Kimsingi suala la utekaji limeendelea kuwa suala linalotamkwa kila mahala. nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni, nimemsikia Rais wa TLS bwana Mwakubusi na pengine maeneo kadhaa. Kama ni kweli hali hii ipo Polisi chukueni tahadhari ili kulinda mali na watu ndani ya nchi. Msingi wa 4R za...
  12. Return Of Undertaker

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
Back
Top Bottom