The Damned Utd is a biographical novel by British author David Peace, published in 2006. Depicting events in the life of English football personality Brian Clough, it is set during Clough's brief and unsuccessful 44-day spell as manager of Leeds United during 1974, with frequent flashbacks to his earlier period as manager of Derby County. Despite critical acclaim, the novel was also the subject of controversy for its perceived negative portrayal of Clough and some historical inaccuracies. It was adapted into a film called The Damned United, released in 2009.
Hakuna pahala tunakwenda!
Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december.
Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi.
Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
Sisi tunaishi katika dunia yetu.
Mpaka leo ligi haijaisha😂
Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao.
EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza.
Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana.
Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio...
Mashabiki wa Manchester United wamebaki wameshtushwa kufuatia uamuzi wa ghafla wa Sir Jim Ratcliffe siku chache tu baada ya maumivu ya kupoteza fainali ya Europa League.
Manchester United walipata kipigo kikubwa cha 1-0 dhidi ya Tottenham katika fainali ya Europa League siku ya Jumatano...
Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26.
Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora...
Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake na familia yake yatakuwa hatarini.
Haya sasa, wale wataalamu wa drama, sauti, IT na masuala...
Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi.
Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na...
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika!
Je, Viwanja hivi havina standby...
Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13
Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu.
Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd?
Kipara ngoto kashaondoka.
Yupi anayefaa?
Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
Mjumbe hauwawi. Nimeikuta sehemu wadau wa Tabora UTD wakiilalamikia TFF kuwa wamekuwa wakichelewesha leseni za wachezaji hasa wa kigeni kwa makusudi kwa maslahi yao.
Hili limeikumba Tabora UTD kwani wachezaji wao tegemezi mpaka muda huu hawajapewa leseni na TFF. Inawesemekana ni makusudi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.