utawala wa trump

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Nicki Minaj anatarajiwa kuhutubia Umoja wa Mataifa kwa niaba ya utawala wa Trump

    Huu ni ushirikiano ambao hakuna aliyewahi kutarajia … Nicki Minaj anashirikiana na Utawala wa Trump kuhutubia Umoja wa Mataifa. Msanii wa “Anaconda” anaripotiwa kuungana na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, kutoa hotuba Jumanne jijini New York, ikilenga kuangazia ukatili...
  2. W

    Maelfu waandamana Marekani kupinga utawala wa Trump katika maandamano ya “No Kings”

    Oktoba 18 na 19, 2025, maelfu ya wakazi wa jimbo la Illinois, New York, Washington DC, Chicago, Miami na Los Angeles, Boston wamejitokeza mitaani kushiriki maandamano ya “No Kings” yanayofanyika kote Marekani na duniani. Maandamano haya ni sehemu ya harakati kubwa ya kupinga kile kinachoitwa...
  3. Yoda

    Mzimu wa Epstein waundama utawala wa Trump, raia wazidisha kuidai listi ya wateja wake waliyohadiwa na Trump

    Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani listi ya pedophile maarufu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa anawatafutia matajiri na watu maarufu wasicha...
  4. Yoda

    Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  5. Echolima1

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague

    Utawala wa Trump umewawekea vikwazo majaji wanne kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu mjini The Hague. Katika kutangaza hatua hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alisema: "Kama majaji wa ICC, watu hawa wanne wameshiriki kikamilifu katika hatua zisizo halali na zisizo na...
  6. Webabu

    Utawala wa Trump waitaka Israel iweke akili yake sawa isaini usitishwaji vita Gaza haraka

    Wakati raisi Donald Trump akijitayarisha kuanza ziara ya mashariki ya kati hivi punde,utawala huo umeonekana kubadili nia ghafla kuhusiana na vita vya Gaza. Katika ziara hiyo raisi Trump atazitembelea Qattar,Saudi Arabia na umoja wa falme za kiarabu bila kuingiza ratiba ya kuizuru Israel.Balozi...
  7. Yoda

    Wamarekani walalamika uchawa mfano wa Korea Kaskazini katika utawala wa Trump

    Wengi wanaona hizi ni siasa mpya kabisa huko Marekani ambapo mawaziri na watumishi wa Serikali wanashinda wakimsifu Trump kwa sifa zilizopitiliza.
  8. Yoda

    Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  9. Webabu

    Elon Musk asema hataki tena kutumia muda wake mwingi kwenye mambo ya utawala wa Trump

    Kufuatia hasara kubwa anazopata tajiri na bilionea wa Marekan,Ellon Musk ameamua kutotumia tena muda wake mwingi kujishughulisha na utawala wa raisi Donald Trump. Hasara za bilionea huyo zimetokana na wamarekani wengi kususia bidhaa zake na kuziharibu baada ya kujishughulisha na taasisi ya DOGE...
  10. Yoda

    New World Order(NWO); Putin ashadadia Marekani chini ya utawala wa Trump kuitwaa Greenland!

    Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
  11. Yoda

    Utawala wa Trump waanza ukamataji wa wageni waungaji mkono wa Wapalestina nchini Marekani

    Huko Marekani kama wewe ni mgeni ukiunga mkono Hamas au Wapalestina hadharani dola inakutia nyavuni na kukurudisha kwenu. Kuna video mojawapo ya ikimuoneysha mwanafunzi aliyejulikana kwa jina la Rumeysa Ozturk kutoka Uturuki anayesoma chuo kikuu cha Tufts ikionyesha maafisa uhamiaji(ICE)...
  12. Yoda

    Karoline Leavitt chini ya utawala wa Trump awa Msemaji wa Ikulu ya Marekani mwenye umri mdogo zaidi

    Karoline leavitt mwenye aliyeteuliwa na Trump kuwa msemaji wa Ikulu ya Marekani katika utawala wake wa awamu ya pili ameweka rekodi ya kuwa msemaji mdogo zaidi katika nafasi hiyo. Soma: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46% Karoline mwenye...
  13. Fbn

    Wanawake Wanaobadili Jinsia katika Magereza ya Marekani waamriwa kuhamishiwa Magereza ya Wanaume

    Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume. Uamuzi huu tata umeibua mijadala mikali kuhusu haki za watu wanaobadili jinsia, mageuzi ya mfumo wa...
  14. K

    Tumejipangaje kuishi katika Utawala wa Trump?

    Hapo Jana, Trump ameapishwa kama raisi wa 47 wa U.S, moja ya hatua alizochukua ni kuitaka U. S kujiondoa haraka Sana WHO. Hakuna asiejua kuwa America inamchango mkubwa Sana kwenye budget ya shirika hili, na wote tunakubaliana kuwa who ina umuhimu Sana katika Ku pambana na Changamoto za Afya...
Back
Top Bottom