utafutaji wa maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam maisha yao ni magumu sana, ukiwaangalia hivi unaweza kuhisi wamepungukiwa maji mwilini

    Kuhusu maisha ya Dar es Salaam. Wakazi wa Dar wanaonekana wamekonda sana . Joto na chache wa hewa ya oxygen kunasababisha watu kutokwa na jasho kila wakati, kiu kali, kizunguzungu pia ni mkoa ambao unaongoza kuwa na wakazi wengi wenye kiwango cha chni cha damu kulingana na mifumo yao mibovu...
  2. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kilichofanya wazazi wako wasiwe Matajiri miaka hiyo ndicho kinafanya wewe usiwe tajiri miaka ya leo. Acha lawama!

    Kumekuwa na mitazamo ambayo inaambatana na lawama kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiendelea kuwalaumu ndugu zao au wazazi wao eti kwanini wamekuja mjini hasa Dar es Salaam miaka ya nyuma ambayo kila kitu kilikuwa cheap (rahisi) na hawana maeneo, nyumba Wala ukwasi ambao wanadai Kwa miaka hiyo...
  3. nipo online

    JamiiForums Tanzania Katika utafutaji wa maisha ni mjini wa kijijini wapi rahisi kufanikiwa?

    Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao. Kabla sijaanza harakati zangu namimi nikahamia mjini gafla, Leo nimewaza kua sijui nirudie tena japo hata kwa...
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) muhimu wakati wa kujitafuta

    Kama bado unajitafuta kimaisha, hakikisha unaishi kwenye haya mambo matano (5);- SHAUKU, UDADISI, UKALI, KUBADILIKA, & USIRI. 1. SHAUKU Kama unajitafuta ni vyema kuwa na shauku kubwa ya kufika mahali unapopataka. Usibaki kuwa na ndoto pekee ya mdomoni, akilini au kwenye makaratasi - bali anza...
Back
Top Bottom