ushmen

  1. princemikazo

    Wakubwa Naombeni Msaada wa Mawazo Yenu.

    Wakuu shikamooni..Leo sitaandika kwa ile Lugha ya Kiarusha(Ngareroo slang)Kwasababu Nna jambo naombeni msaada wa mawazo yenu kama kaka zangu na Dada zangu,,So leo naomba niandike kwa lugha inayoeleweka ili mnisaidie mawazo na Asipatikane mtu wa kusema hajaelewa hii ni kutokana na watu wengi humu...
  2. princemikazo

    Ndoto zangu za kujiunga JF zimetia

    Shikamooni wakuu,najua wote humu ni wakubwa kuliko mimi,,Naomba Niweke wazi furaha yangu ya kujiunga Jamiiforum tangia Nikiwa secondary miaka ile ya Uchaguzi mkuu uliomweka huyu Rais wa awamu ya 5 madarakani,,Jf ili nisaidia sana na inaendelea kunisaidia katika mambo ya kitaaluma hadi kesho...
Top