ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viungo vyangu mwenyewe katika mwili wangu lakini vinagoma kunipa ushirikiano

    Wakuu si kwema kabisa Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka...
  2. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums na LHRC zasaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati

    Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Utawala Bora, kuchochea Haki ya Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: BAKWATA yahimiza ushirikiano baada ya uchaguzi

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani. Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa Afungua Milango ya Ushirikiano kwa CoRI Kujadili Masuala ya Sekta ya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi. Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

    Siyo kwa nia mbaya ! Katika kuboresha na hamasa kwa walemavu hufanyika matamasha mbalimbali kila mwaka! Viongozi na watu mashuhuli wamekuwa ni mchango mkubwa kufikisha ujumbe kwa jamii! Haji manara huwa hataki kabisa kushirikishwa kwenye jambo ili awe msemaji wa walemavu wanao omba msaada...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania na Comoro zaangazia ushirikiano katika TEHAMA

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada. Katika mazungumzo yao, Mhe. Balozi Yakubu alimueleza Mtendaji Mkuu Bwana Ahamada kuhusu hatua kubwa ambazo Tanzania imepiga katika...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhishwa na ushirikiano uliopo na nchi ya Namibia

    NA. MWANDISHI WETU – WINDHOEK NAMIBIA Tanzania itaendelea kuimarisha misingi ya uhusiano wa diplomasia baina yake na nchi ya Namibia katika kuimarisha mahusiano yaliyopo katika nyanja mbalimbali huku mchango wa Tanzania katika uhuru wa Namibia ukitajwa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya...
  8. JamiiForums Tanzania TRA yawatoa hofu Wafanyabiashara kuhusu pesa zao Benki

    #Dar es Salaam Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda na Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) Bw. Emmanuel Tutuba leo tarehe 17/10/2024 wamekutana na Watendaji Wakuu wa Mabenki na Taasisi za Fedha nchini kujadili suala la Hati ya Uwakala katika ulipaji kodi (Agency...
  9. JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Ulaya ni wa kunufaishana

    Umoja wa Ulaya hivi karibuni ulipitisha mswada wa hukumu ya mwisho ya kesi ya kupinga ruzuku ya magari ya umeme ya Umoja wa Ulaya iliyowasilishwa na Tume ya Ulaya, na kupanga kuongeza ushuru wa forodha kwa magari ya umeme yanayotengenezwa na China. Kitendo hiki kimepingwa vikali na China, na...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa Tanzania na Japan Kuwezesha Ujenzi wa Flyover Morocco - Dar

    USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani hususan katika Sekta ya miundombinu ambapo Tanzania inaendelea na mazungumzo na nchi hiyo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia ataka ushirikiano na mawazo bunifu kuliendeleza Bara la Afrika na watu wake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki wa mkutano huo kutumia jukwaa hilo kikamilifu kwa kuimarisha ushirikiano...
  13. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Umoja wa Mataifa (UN) ni wa muhimu katika kutekeleza ajenda mbalimbali za pamoja kwa manufaa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  16. JamiiForums Tanzania Comoro na Tanzania ushirikiano ni imara

    Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui ametembelea Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni, Comoro na kufanya mazungumzo na Balozi wake, Mhe. Saidi Yakubu. Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Badaoui ambaye pia ni Amidi wa Mabalozi nchini Tanzania alitumia fursa hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Mkutano wa mwaka 2024 wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafunguliwa hivi karibuni hapa Beijing. “Ripoti ya Mwaka 2024 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa Ijumaa wiki iliyopita hapa Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Fursa mpya zinaonekana katika ushirikiano wa kuvuka mpaka wa BRI wakati mkutano wa FOCAC ukikaribia

    Ushirikiano kati ya China na Afrika, ambao masuala ya uchumi na biashara ndio kiini chake, utaendelea kuwa wa kina zaidi chini ya Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) la China, wakati pande hizo mbili zikiwa tayari kukumbatia mtazamo wa pamoja wa kujenga jamii ya ngazi ya juu ya China na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika wasaidia kutimiza ndoto za Waafrika

    Ushirikiano na uhusiano kati ya China nan chi za Afrika umedumu kwa miongo mingi sasa, na kuzinufaisha pande hizo mbili kidhahiri. China imekuwa mwenzi wa kutegemeka kwa nchi za Afrika, na imetekeleza ama inatekeleza miradi mingi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ujenzi wa barabara, reli, bandari...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…