ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taasisi ya ZAMHSO yatembelea Iringa Girls, yaelezea kuguswa na ushirikiano wanaopata wenye mahitaji maalum

    Sisi Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO)Tulipata nafasi ya kutembelea Iringa Girls, shule ya mjumuisho inayowakaribisha Wanafunzi wa kawaida na wale wenye mahitaji maalum. Ni jambo la kuvutia kuona jinsi shule hii inavyokuza usawa na mshikamano kupitia elimu. Wakati wa kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati

    Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo anayeshughulikia pia masuala ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.

    . Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa Tanzania na Hungary wazidi kung’aa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Budapest, Hungary kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4) inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi baina ya Tanzania na Hungary. Baada ya kuwasili, Waziri Kombo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi: CCM kuendelea kuimarisha ushirikiano wa ndani na nje

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza dhamira yake ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa ndani na kimataifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. CCM ambacho ni chama tawala nchini kimeeleza kuwa kitasimamia Serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Unapokutana na vibaka kuna mambo matatu tu, kimbia sana, uwe tayari kwa pambano au utoe ushirikiano, usianze kuleta ubishi / ujuaji.

    Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara. Unapokutana na wezi ni option tatu pekee 1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu Wahutu na Watusi wasipromote kuoana zaidi ili Kuongeza Ushirikiano na Amani baina yao

    Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?; Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia zasaini mikataba ushirikiano wa ulinzi na usalama na kubadilishana wafungwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana Wafungwa. Mikataba hiyo imesainiwa leo Januari 29, 2025, Jijini Dar es Salaam, upande wa Tanzania na...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

    Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
  13. JamiiForums Tanzania Tech & media convergency (TMC) yashirikiana na Ubalozi wa Marekani dar, katika kutekeleza mradi wa kuimarisha ushirikiano katika ajenda ya kidijitali

    Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration." Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

    Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu. Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika waonyesha mfano bora wa kuendeleza ustawi wa pamoja

    Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35. Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania - Somalia zasaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano

    TANZANIA - SOMALI ZA ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika mkutano uliofanyika jijini Mogadishu leo tarehe 19 Disemba, 2024 chini ya uenyekiti wa Waziri wa...
  20. JamiiForums Tanzania FURSA YA USHIRIKIANO BIASHARA

    FURSA YA USHIRIKIANO: NATAFUTA BIDHAA ZA KUUZA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO BAADA YA MAUZO Maelezo: Habari, Jina langu ni Ramadhani Juma Kimweri, mjasiriamali mwenye nia ya kuendeleza biashara kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye bidhaa mbalimbali. Natafuta wafanyabiashara wanaotaka kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…