ushirikiano wa kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kupitia Singapore Cooperation Program

    Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo ili kuchochea kasi ya maendeleo ya Taifa na wananchi wake...
  2. Ojuolegbha

    Tanzania na Ethiopia zasimika mikakati ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi

    Tanzania na Ethiopia zasimika mikakati ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Mawaziri wa Umoja wa Afrika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi, Wizara Mambo...
  3. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ahimiza ushirikiano wa kiuchumi na umoja wa Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), katika ziara yake ya kikazi inayoendelea mjini Brussels, Ubelgiji. Akifanya mazungumzo kwa...
  4. Ojuolegbha

    Tanzana – Ukraine kuongeza ushirikiano wa kiuchumi

    TANZANA – UKRAINE KUONGEZA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ukraine zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii ikiwemo kilimo, biashara na uwekezaji, viwanda, utalii, elimu na afya kwa maslahi ya pande zote mbili...
  5. Ojuolegbha

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  6. Ojuolegbha

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo. Tareh 19 Machi 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana kwa Mazungumzo na Waziri wa Uhamiaji wa Sweden Mhe. Johan Forssell. Katika mazungumzo hayo viongozi hao...
  7. Ojuolegbha

    Tanzania na Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo

    Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  8. kwisha

    Canada pia wamejibu trump kwa kuongeza ushuru kwenye biashara ya Marekani

    Waziri Mkuu wa Canada anayemaliza muda wake, Justin Trudeau, ametangaza kuundwa kwa baraza la uhusiano wa Canada na Marekani kukabiliana na tishio la Rais mteule Donald Trump la ushuru wa 25% kwa bidhaa za Canada. Baraza hilo lina wajumbe 18 kutoka sekta mbalimbali, wakiwemo viongozi wa zamani...
Back
Top Bottom