ushindi wa kishindo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Naipongeza sana Morocco kwa ushindi wa kishindo na nimshukuru refa kwa kuchezesha mpira kwa amani, naionya Tanzania kuto kuvuruga amani ya AFCON

    Mpira ulikuwa mzuri na ulikuwa huru na haki naipongeza sana Morocco imepata ushindi wa kishindo kutokana na jitihada kubwa pamoja na maandalizi mazuri waliyo kuwa nayo. Lakini pia nampongeza sana Refa kwa kahakikisha amani inalindwa kikamilifu wakati wote wa mchezo ingawa kuna wahuni wachache...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    Samia Suluhu Hassan mambo vipi? Naona bado Unafurahia Ushindi wa Kishindo wa 98%

    Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo? Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo? Nijibu pm.
  3. M

    Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  4. J

    PreGE2025 Ushindi wa kishindo kwa hali hii ni dhuluma!!!

    Tuna amini kwamba tawala zote duniani utoka kwa Mungu! Ni kweli maana Mungu ndo muumba wa vitu vyote! Chaguzi zote za haki ni sehemu ya kumpendeza Mungu! Chaguzi za dhuluma ni machukizo ya Mungu! Kama kuna watu wanalalamika automatically ni chaguzi za kuzimu! Ndo maana tunaona ardhi imepanua...
  5. Tlaatlaah

    chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

    Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na...
  6. Tlaatlaah

    Ujasiri wa Rais Samia unaashiria uhakika wa ushindi wa kishindo kwa CCM uchaguzi mkuu na amani ya kudumu Tanzania na kwenye mipaka yake

    Kujiamini kwa Samia Suluhu Hassan, ni uthibitisho wa uhakika kwa amani, umoja na usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni ishara ya wazi kwamba CCM inakwenda kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu2025. Dr.Samia Suluhu Hassan, amesimama vizuri sana kwenye...
  7. TUKANA UONE

    PreGE2025 G 55 Inapaswa Waanze Mikutano ya Hadhara kuuelewesha Umma namna ambavyo wanadhani wakishiriki kwenye Uchaguzi watapata Ushindi wa Kishindo

    Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea! Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
  8. upupu255

    PreGE2025 POTOSHI Viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM

    Wakuu Je, Ni kweli viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM
  9. Tlaatlaah

    Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
  10. chiembe

    Wana Ngorongoro, nawapa kongole kwa mapenzi yenu ya dhati kwa CCM, mmeipa ushindi wa kishindo uchaguzi wa mitaa, mmekataa upotoshaji

    Wana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi. CCM imepata ushindi wa kishindo
  11. Waufukweni

    LGE2024 Dar: CCM yashinda Segerea mitaa yote 61, na kupata jumla ya viongozi 366 wa Serikali za Mitaa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo. Vilevile, CCM kimeibuka kidedea kwa kupata wajumbe 122 wa viti maalum (wanawake) na 183 wa viti mchanganyiko. Hivyo, kwa...
  12. Mindyou

    LGE2024 Mizengo Pinda ajitokeza kwenye kampeni za CCM Mtwara. Ataka wagombea wasibweteke baada ya ushindi wa kishindo 2019

    Wanabodi, Wakuu huyu baba alikuwa wapi siku zote? Kwani bado yupo kwenye siasa? Mlezi wa CCM Mkoa wa Mtwara, Mizengo Pinda, amewahimiza viongozi na wanachama wa chama hicho kutobweteka na mafanikio ya uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa, ambapo maeneo mengi yalishinda bila kupingwa...
  13. T

    Baada ya kauli ya Nape na Ng'umbi CCM waone aibu kujisifu kushinda kwa kishindo

    Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo. Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo...
  14. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kanda ya Kati: Siri ya Ushindi wa Kishindo wa CCM Kila Uchaguzi

    kwa tathimini fupi sana ya uhakika, ni wazi na bayana kabisa kwamba kanda ya kati ni miongoni mwa kanda ambazo ni ngome imara sana isiyo tetereka wala kuyumba ya CCM na ambayo ina kura nyingi sana za uhakika na za kishindo kwa CCM. Katika kanda hii, wapinzani walishaga jikatia tamaa kabisa eneo...
  15. Tlaatlaah

    Ukijipanga na kujizatiti vizuri kupata ushindi wa kishindo katika sanduku la kura kwenye uchaguzi, hata 100% unaweza kupata..

    Mfano mzuri ni kwa Paul Kagame wa Rwanda.. Hii ni awamu yake ya nne anashinda kwa kishindo cha kura za Wanyarwanda. katika chaguzi za awamu tatu mfulilizo zilizopita, Paul Kagame amekua akipata ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90%. safari hihi sasa, katika uchaguzi unaodaiwa kua wa huru, haki...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Unatarajia ilani nzuri kiasi gani ya CCM uchaguzi mkuu ujao?

    Heshima, Upendo, Matumaini na Kuaminika, kwa Chama Cha Mapinduzi kwa wanainchi wa Tanzania, kuna tokana pamoja na mambo mengine, ni utekelezaji wa wa mafanikio makubwa sana, wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2020-2025, kiuchumi, kijamii na kisiasa. waTanzania na wananchi, wanaiona CCM...
  17. Richard

    PreGE2025 Rais Samia na CCM wametimilisha msemo wa wahenga kwamba kelele za vyura kwenye dimbwi hazimzuii ng'ombe kunywa maji na ushindi ni lazima 2025

    Kabla ya kuanza uchambuzi wangu ningependa kutoa angalizo kuwa mimi siko upande wowote ule. Naandika maoni, uchambuzi au mapendekezo yanotokana na yale tunoyaona, kusikia na pia kuyasoma katika vyombo vya habari au mitandao ya kijamii. CCM chama tawala Tanzania tangu kuanzishwa kwake kimeshika...
Back
Top Bottom