ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Bashe awekwe pembeni ili amalizane na kesi zinazomkabili mahakamani

    Salaam, shalom!! Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri, Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Nawaza nimekosea wapi au ni laana! Napitia msongo wa mawazo

    Habari Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo. Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

    Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi 1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university 2.Bachelor of Economics and finance _IFM 3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna madhara kufanya mapenzi kabla ya kumaliza dozi ya UTI?

    Wakuu hivi kuna madhara ntapata baada ya kufanya sex leo ikiwa asubuhi ndo mmemaliza doz ya sku tatu ya Azuma bahat mbaya nmejisahau nmefanya kavu.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi ya kuchagua

    Habari wakubwa, Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa. Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo 1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university. 2. Bachelor of accounting with Information...
  6. JamiiForums Tanzania Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo

    Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari. Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia nikasome kozi gani kati ya hizi. 1. Medical laboratory science. Lugarawa na Rucu 2. Petroleum...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila anayeonyesha Pesa zake mitandaoni serikali imtake aonyeshe na kodi aliyotoa

    Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine. Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Yamenifika shingoni sijui la kufanya mimi

    Kwa walionizidi umri shikamoni na kwa wa umri wangu habari zenu? Kilichonileta mbele zenu ni hiki ndugu zanguni ni haya nayopitia na baba yangu licha ya kuwa na maswaibu yanayonisumbua kwa muda mrefu mpaka nashindwa kufanya kazi zangu kwa kuamua bali huwa najilazimisha ivoivo baada ya kuona...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Halima Mdee, kurudi CHADEMA ni kujidanganya

    Ukiangalia account zote za wapinzani utakuta picha ya Free nani, Free nani, kwa Mdee yeye kwake picha za simba na Yanga. Naamini 100% mdee hata akisamehewa basi ni kujidanganya, moyo haupo kabisa upizani. bora tu uwende CCM ukamlizie siasa zako, maana CCM tupo wengi kwenye foleni tunataka nafasi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kijana mtafutaji, ukijenga Dar unaulazimisha umasikini uendelee kuwepo mlangoni mwako

    Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni heri ningenunua kiwanja mkoani kwetu, maana pesa niliyoitumia huku, kwa kule ningepata kiwanja karibu...
  12. JamiiForums Tanzania Nifanye nini nipate mafao yangu baada ya mwajiri kutonipa barua ya kusitisha ajira yangu?

    Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

    Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu! Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo. Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu! Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Muda wa kulipia ukifika, LATRA imtumie muhusika wa gari control number ya kulipia deni

    Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa. Pili unatakiwa ulete bima...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

    Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania. Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi. Hivyo ajali...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Fani gani nikisoma ni rahisi kufanyiwa Recategorization?

    Mimi ni mwalimu, naombeni msaada wa fani ambazo endapo nikasomea inakuwa rahisi kufanyiwa Recategorization kwa upande wa halmashauri. Mbarikiwe. #kuna hali imenishinda kuendelea kuendelea kushika chaki
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa kijana

    Leo tuifanye hii thread iwe ya moto. Ni ushauri upi wa muhimu unao mpa kijana wa kitanzania siku ya leo ili aweze kuyabili maisha vema?
  19. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa ujenzi

    Habari wakuu naomba ushauri wenu kwa eneo la ukubwa wa upana 10M kwa 10 M Na urefu wa 10.5M kwa 10.7M naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…