Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa.
Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama vilivyoshiriki uchaguzi kama CHAUMMA, NLD,NCCR, CUF na vingine.
Mama husilidhiane na Chadema Kwa...
Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako?
Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
Watanzania wenzangu tumshauri kama atakubali sawa.
Hatari inayokuja wanatunishiana misuli wakati upande wa pili unakubalika zaidi na slogan yao.
Kwa sasa hivi asiende kishabiki au na hasira nchi ataitupa porini kwa sababu wale jamaa hawataki kuachia ugali wao.
Kwanza akae na wadau na...
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani...
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninao ushauri huu kwa Mh Rais wangu Samia Suluhu Hassan.
Ushauri wangu ni kuwa afanye utaratibu wa kisheria wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara kama ilivyo kwa Tanzania Visiwani.
Faida yake ni kuwa itampunguzia upinzani ndani ya CCM na...
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%
Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi
Lukuvi aliimudu sana.
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.