ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je upo ushahidi Nyerere aliwasaliti Waislamu, Je yapo makubaliano yeyote ya maandishi waliyoingia baina yao kabla ya uhuru

    Wenye ilimu karibuni
  2. JamiiForums Tanzania Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

    CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  4. JamiiForums Tanzania TEL DAN – USHAHIDI WA WA UWEPO WA “NYUMBA YA DAUDI”

    MAKALA: TEL DAN – USHAHIDI WA KIHISTORIA WA “NYUMBA YA DAUDI” Tel Dan ni moja kati ya maeneo muhimu zaidi ya akiolojia yaliyoko kaskazini mwa Israeli, na lina historia ndefu inayothibitisha baadhi ya simulizi za Biblia. Katika karne ya 9 Kabla ya Yesu., jiwe lililoandikwa kwa lugha ya Kiaramu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  7. JamiiForums Tanzania Kila Mnoreform aweke ushahidi wake hapa kwamba ni mtanzania kweli, kuna tetesi eti wengi wenu ni wakenya?

    Hata mimi napata wasiwasi pengine kweli, so wasijekuwa wanatwanga maji kwenye kinu Manake wenzetu jirani kwa kutumia mitandao wapo vizuriiii, Unajua kwanini? Threads yenye comments zaidi ya 100 lakini wachangiaji ni 16 tu, hapa lazima tupate mashaka kidogo
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima kufutwa, kituo kifuatacho ni KKKT? Ushahidi huu hapa

    Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu Wasabato kama ni kweli kula kitimoto ni dhambi leteni ushahidi kimaandiko wa adhabu kwa anayeitumia. , dhambi nyingine adhabu zimetajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Ushahidi huu adhabu kwa dhambi nyingine:. ::: 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, Wagalatia 5:19 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, Wagalatia 5:20 21 husuda, ulevi, ulafi, na...
  10. JamiiForums Tanzania Bishop na Bingwa wa Utabiri Dickson Kabigumila asema 'Utekaji na Watekaji mwisho wake ni mwezi 8/2025

    Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia. Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi. Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI...
  11. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

    Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya. Ninavyowajua...
  12. JamiiForums Tanzania Askofu gwajima anawajua wasiojulikana, ushahidi huu hapa.

    Wasalaam Tarehe 6 Sept 2017 alimuonya tundu lissu asiende dodoma atapigwa risasi. Lakini kama tujuavyo nabii hakubaliki kwao hivyo lissu talikaidi na Sept 7 alishambuliwa kwa marisasi mengi. Hii ni wazi baba askofu anawajua wasiojulikana ni vema akawaanika wazi ikibidi kwa majina yao ili...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimteka mdude na kumpeleka kusikojulikana nao wapotezwa ili kupoteza ushahidi

    Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!! Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police...
  14. JamiiForums Tanzania Maofisa wa Maliasili Kibiti Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake kupoteza ushahidi, DC aagiza uchunguzi

    Maofisa wa Maliasili wilayani Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake haraka kupoteza ushahidi, nduguze wamelalamika. Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ameagiza wahusika wawekwe ndani na wananchi wawe watulivu wakati suala hilo likifanyiwa kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Simba kusanyeni ushahidi huu kuupinga ubingwa wa Barkane CAF na CAS:

    Hapo vip!! Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili. mazingira na ushahidi huu inatosha kumvua barkae ubingwa. 1.Kunzaia hatua na maamuzi ya CAF kumchagulia Simba uwanja wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Likud alikuwa sahihi bana. Asilimia sabini ya wamarekani ni masikini. Ushahidi huu hapa chini

    Tena maneno ya mmarekani mwenyewe.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

    Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga. Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje. Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Qur’an haijawahi kufanyiwa mabadiliko? — uchambuzi wa kisayansi na kihistoria

    Moja ya madai maarufu miongoni mwa Waislamu duniani ni kwamba Qur’an haijawahi kubadilishwa hata herufi moja tangu ilipoteremshwa kwa Nabii Muhammad. Lakini je, historia na sayansi ya maandiko inathibitisha hili? Leo nitachambua ushahidi wa kihistoria, nukuu kutoka kwa wasomi wa Kiislamu, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…