ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamishna Mkuu Haki za Binadamu UN ataka uchunguzi mauaji ya Uchaguzi Tanzania, Lissu na wengine waliokamatwa kuachiliwa

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ameitaka Serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi kuhusu mauaji na ukiukwaji mwingine wa haki za binadamu uliofanyika katika muktadha wa uchaguzi wa Oktoba 29. Hii inafuatia taarifa zinazoeleza kuwa miili ya watu waliouawa...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

    Heko CNN Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa. Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu. Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Yafuatayo; 1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madaktari mbalimbali nchini wanawindwa kama wahalifu ili kuficha ushahidi wa mauaji na maiti zilizopelekwa kutupwa ktk hospitali zao

    https://youtu.be/yh3FB26VcNc?si=Aa33IMGEMgn_8AW0 👉Baadhi wameshakamatwa, kutekwa na kuuawa Ili kuficha ushahidi (Taifa likiwa bado linaomboleza na kuzika ndugu zao waliouawa kati ya 29/10 na 5/11/2025, nyuma ya pazia Samia akiwa anaendelea kuteka na kuua kwa Siri at the same time akijidai...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mchengerwa kaja na Wizara ya Afya kufuta ushahidi wa idadi ya vifo wakati wa uchaguzi?

    Nafikiri ndio sababu ya msingi ya mbavu nene akili kisoda kupelekwa wizara ya afya. Amebeba ajenda muhimu moja tu, nayo nikupoteza ushahidi wa idadi za vifo na miili ya wahanga wa Mo29!!
  6. JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  7. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Jinsi CCM "walivyoshinda uchaguzi" kwa kishindo cha 98%

    Mbinu zilizotumika kwenye "uchaguzi" wa mwaka 2020 ndizo walizopanga kuzitumia pia mwaka 2025. Lakini safari hii liliwakuta jambo ikabidi wabadili gea angani. Mwaka 2020 wasimamizi wa vituo waliletewa matokeo ya bandia na ARO Kata wakati upigaji wa kura halali ukiendelea. Hizo kura za mchongo...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushahidi wa mauaji kwa watu wasiohusika na maandamano

    Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa sishabikii maandamano wala mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Niliyoshuhudia au kusimuliwa na watu kuhusu maauji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025 yanahuzunisha sana na yamenifanya niamini kuwa jeshi la polisi Tanzania linafanya kazi kitutusa sana...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi

    Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa Mtandaoni hayana ushahidi, wanatumia pages zangu kupata followers

    Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea? Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
  11. JamiiForums Tanzania Sina imani kabisa na hali ya Polepole huko alipo sasa. Zile damu kumtoka alipelekwa wapi?

    Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye. Ni mawazo tu.
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kuijadili sana interview ya Maxence Melo kuhusu sababu ya kufungia JF, The Chanzo walazimishwa kufuta Hiyo interview Mara moja

    Nchi hii ni ya maajabu sana , Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno! Katika interview ile aligusia: 1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau 2. Akagusia kwanini JF imefungiwa Sasa baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mahakama za mwanzo ziruhusiwe kupokea ushahidi wa kimtandao

    Habarini, Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya. Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa ikizingatiwa kwa sasa mawakili wanaruhusiwa kufana kazi mahakama za mwanzo. Kuna jambo pia la...
  15. JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa ofisi za JF ni ushahidi kuwa serikali imeshikwa pabaya na inatuogopa kwa mishale yetu?

    Serikali yoyote halali na yenye kujiamini, haiwezi kupoteza muda na heshima yake kuvamia ofisi ya mitandao kama ilivyotokea kwa ofisi za JF. Kwanza, nalaani kitendo hiki cha kichovu na kizwazwa, na pia, naitaka serikali ilaani kama kweli aihusiki. Pili, naitahadharisha serikali kuwa isipokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naendelea kuamini kuwa Mungu hasemi uongo. Alisema ukiibariki Israeli, utabarikiwa. Ukiilaani, utalaaniwa. Ushahidi huu hapa

    Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi. Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Picha za Plate Number SSH 25 30: Wacha Drama Kama Hawajakamatwa!

    Wadau, ushahidi huu wa picha unaonyesha kuwa plate number SSH 25 30 ni nyingi sana, na inaweza kuwa hatari kama si rasmi. Kama hawajakamatwa, wacha drama na tuendelee na maisha – lakini mamlaka ziwasilize! Je, mmeona magari haya eneo lako? Je, ni viongozi au wafanyabiashara? Shirikieni maoni...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

    Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao? Polepole kasema mengi yenye...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…