usalama tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Tukubaliane, Watekaji wamemshinda Rais Samia, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania, Sasa nashauri tujilinde

    Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao, Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe. Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
  2. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini vyombo imara na vya kisasa vya ulinzi na usalama Tanzania, havina mzaha, havioni aibu wala haya kuwashughulikia magaidi?

    Hebu tazama Tanzania inavyopendeza kwa ulinzi na usalama wa kutosha kila kona ya nchi. Usalama ni wa uhakika na hakikisho la amani kwa waTanzania wote dhidi ya vitisho vya kigaidi kutoka kwa maharamia na mamluki wanaofadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi hakuna tena. Ndugu mdau wa JF, ukipata...
  3. R

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  4. Carlos The Jackal

    Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  5. The Burning Spear

    Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  6. Gilbert A Massawe

    Hongera Vyombo vya Usalama Tanzania

    Ni weeek Sasa Toka Jeshi la Polisi likiongozwa Na Afande IGP C Wambura kudhibiti Mipango ya Kigaidi iliyopangwa na Raia wa Kenya waliongia nchini kwa kigezo cha kufwatilia Kesi ya Uhaini ya Ndg Lissu. Taarifa za Ndani zinadai Taasisi ya Ford Foundation ikiwatumia wanaharakati wa Kenya ilipanga...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Ni nani kaliroga Tanzania? mpaka sasa tuko busy kulinda kiti cha Rais

    DUNIA sasa iko kasi, nchi kama Rwanda inawaza kujitanua kiuchumi na kijiografia, Wazungu watu wenye akili wanawaza kujiimarisha kiuchumi kwa kupata rasilimali toka mataifa mbalimbali, nchi za Asia nazo wanawaza namna ya kuvuna rasilimali toka kwenye mataifa ya wajinga. Sisi Tanzania mpaka sasa...
  8. Tlaatlaah

    Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni imara, wa uhakika na wa kuaminika

    Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki. Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika...
  9. Fortilo

    Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

    Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani. Swali. Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani? Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani. Hii kibri anapata wapi? "Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
Back
Top Bottom