usajili wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wamebadirisha mfumo wa usajili wa magari kutoka Z123AB kwenda Z123ABC!

    Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili. Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa. Kwahiyo huko unaweza...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Gari mbili zina usajili mmoja zinatamba tu barabarani na wala LATRA hamna hatua wanayochukua

    Na utaambiwa mamla husika haioni haya? Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini. Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

    Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo. Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania SACP Ng'azi plate number nyeusi ni kwa ajili ya majeshi, tutawasaka watu binafsi wanaozitumia

    Kamanda wa kikosi cha usalama barabrani SACP Ramadhan Ng'azi, amesema wanaanzisha msako kwa ajili ya watu wote wanaotumia kibao cha namba za usajili zenye rangi nyeusi(PLATE NUMBER), kwani rangi hiyo ni mahsusi kwa watu wa majeshi na sio watu binafsi. Ameyasema hayo leo akiongea na wanahabari...
Back
Top Bottom