Serikali imesitisha usajili wa bajaji mpya katika Jiji la Mbeya, huku bajaji zaidi ya 6,000 zilizopo zikiruhusiwa kuendelea kutumia barabara kuu kwa siku 14 wakati tathmini ya changamoto za miundombinu ikiendelea.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Habari ndugu zangu nina changamoto za usajili hapa wa majina mimi naitwa Erick Samwel Chule... Lakini kitambulisho changu cha nida kinasoma Elick Samweli Bulugu sasa kwenye vyeti natumia majina yangu halisi lakini hapa kwenye nida ndo nilichanganya mambo maana ukiangalia ni makosa mawili kabisa...
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
Salam kwenu.
Naona sasa imekuwa kero sana kwa makampuni ya simu kuamua kuzifanyia usajili upya namba simu kwa kigezo hazijatumika kati ya miezi 3 hadi 6.
Leo nimemtafuta mtu kwa namba ta tigo ambayo tulikuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu isipokuwa siku za karibuni. Naastaajabu anapokea mtu...
Msanii Nguli na Mfanyabiashara mkubwa duniani wa vyakula. Shishi beibi amekamilisha usajili mpya kuelekea mwisho wa mwaka.
NB: Vijana! Uvumilivu ndio silaha kuelekea kufaidi matunda. Usikate tamaa zamu yako bado.
1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You
2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu
3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara
4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.