urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  2. JamiiForums Tanzania Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

    Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria. Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi. Nawasilisa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
  6. JamiiForums Tanzania Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa. Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

    Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote? Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Lwaitama: Kama utaratibu wa CCM kupata Mgombea Urais umebadilika, Wananchi wanaweza kuahirisha Uchaguzi

    Akizungumzia dhana ya kuwa tarehe ya Uchaguzi Mkuu haiwezi kubadilika, Mdau wa Siasa, Profesa Azaveli Lwaitama amesema si kweli na kwamba tarehe inaweza kubadilika kwa sababu mbalimbali ikiwemo mlipuko wa ugonjwa au vita au Wananchi wakiamua iwe hivyo. Amesema hayo alipohojiwa na Haki TV ambapo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hesabu za kimedani zimemtupa nje Gwajima katika ramani ya urais, kuendelea kumjadili ni kupoteza muda

    🕵🏾‍♂️ CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE “Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong 📍 INTELLIGENCE BRIEFING Kumekuwa na movement ya chini chini inayomweka “The Preacher General” kama the next big thing kwa kiti cha juu kabisa cha nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana! Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    1. Lisu 2. Gwajima 3. Samia Active please moderator futa thread hii nimetengeneza nyingine as per your format
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe hatohama Chadema kama mnavyodhani, Gwajima atashinda Urais..

    Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu , Yanga tutakupa Urais 2030, tafadhali Tufungie haya Makolo Leo, Piga Hao watoto wa TFF/TPBL

    Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi yanga ndo Wananchi wenyewe, basi sisi tuna ushawishi mkubwa, japo tunaonewa na TFF na Bodi ya Ligi ambao...
  16. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

    Hii ni kumbukumbu kwa vijana wa 2000
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Wakiamua Matokeo ya Urais yawe hivi atawafanya nini?

    Tunajua Matokeo ya Urais na Ubunge ya nchi hii yanaamuriwaga na kulazimishwa na TISS. Kiuhalisia bila hao TISS yeye na chama chake ni wepesi zaidi ya karatas. Sasa anavyogombana na TISS na siku ya uchaguzi wakiamua matokeo ya Urais yawe hivi. Atasemaje? Na Katiba inasema Matokeo ya Urais...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema msimpe nafasi ya kugomea Urais Gwajima

    Naongea kwa experience ya Lowassa,Sumaye na Nyarandu. Haya mambo ya kuwachukua watu wakati wa uchaguzi hapana Kama wanakuja wakae benchi kwanza hata nafasi ya kugombea nafasi yeyote wasipewe. Kwanini kwa sababu baada ya uchaguzi uwa wanaanza kashifa za kijinga na kukigawa chama!! Na mwisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…