Habari za mda huu wana JF,
Nilikuwa na swali kwa wajuzi wa upwork kuhusu hizi connect za kuombea kazi, mana nilijiunga upwork tarehe 13 mwezi uliopita ila sikubewa connect za kuanzia kama nilivyo fatilia kabla sijajiunga.
Sasa nilipowauliza wakasema watanipa tarehe 13 kama siku niliyo jiunga...