Je, huwa unapiga chafya ya upwiru?
Hii siyo chafya inayosababishwa na mafua ama vumbi, bali inasababishwa na hisia za upwiru!
Chafya hii huja mara tu fikra za kimapenzi zinapokuja kichwani mwako ama ukimuona mtu ukamuelewa, basi utapiga chafya kama beberu.
Ukiwa kwenye eneo la mkusanyiko wa...
Kumekuwa na janga kubwa ambalo linahitaji uwajibikaji wa wanaume kuwashughulikia akina mama na akina dada ambao 100% wote wanasumbuliwa na Upwiru...
Mfano mdogo, angalia jinsi wanawake walivyo wepesi kufanya mapenzi na wanakung'ang'ania hata kama hauna pesa ya kumpa. Angalia jinsi wanaume...
Nakumbuka ndo nilikuwa nmemaliza kidato cha nne shule fulani jijini Mwanza.
Iyo siku niliwasiliana na mzee akanambia yupo road anakuja home, mzee hua unabana sana yaani akiwepo home hakuna kutoka nikushinda ndani ikabidi niondoke om nienda kupunguza upwiru mabatini jijini mwanza ilikuwa mida ya...
Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje??
Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii..
Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.