upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Malawi: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwa Njama za Mauaji ya Rais Chakwera

    Patricia Kaliati (57) Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Upinzani na Katibu Mkuu wa chama cha UTM, amekamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Rais Lazarus Chakwera, huku Wanasiasa wengine wa upinzani wakidai kuwa mashtaka hayo yana msukumo wa Kisiasa. Kaliati, alifikishwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda Yawafunga Wanachama wa Chama Cha Upinzani Kwa ‘Uhaini’

    Mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku ya Jumatano iliwahukumu wanachama 16 wa chama cha upinzani kifungo cha miaka mitano jela kwa kupatikana na vilipuzi kinyume cha sheria na mashtaka ya “uhaini”, wakili wao alisema. Timu ya utetezi inazingatia kukata rufaa, ikisema washtakiwa walikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wapewe ulinzi wa Polisi saa 24

    Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wawili wa upinzani wauawa kwa risasi Msumbiji

    Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo MSUMBIJI: Watu wenye silaha wamesababisha vifo vya Wanasiasa wawili wa Chama cha Upinzani ambao ni Wakili Elvino Dias...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kauli za kuupoteza Upinzani Nchini zinavyopoteza Wananchi kujiandikisha kupiga kura Tabora

    Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani wavuruga kikao Albania

    Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamevuruga kikao cha Bunge kupinga hatua ya kufungwa Gerezani Mbunge mwenzao kwa tuhuma za kusema uwongo. Wabunge hao wamesema kufungwa kwa Ervin Salianji ni hatua iliyochochewa kisiasa na wameitisha maandamano makubwa ya kuufunga Mji Mkuu, Tirana...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sijawahi Kuua "Mtu" Bali Naua "Sisimizi" Walio Chimbuko la Nguvu Hasi ya Upinzani Dhidi ya Ccm na Serikali Yake

    "Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao umasikini, ninaua Sisimizi wenye mambo hasi ya kuturudisha nyuma kiuchumi, ninaua Sisimizi waletao giza...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

    Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  13. JamiiForums Tanzania Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM na Vyama vya Upinzani havina urafiki sana na Urusi ,je tuna viongozi vibaraka wa mabeberu ?

    Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Mbowe isiyokuwa na agenda maalumu na kutomaanisha wanachosema inapendeza kuwa upinzani sio Tawala mpaka ijitambue

    Naendelea kusisitiza tu hoja zangu Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya...
  18. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

    Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…