unyenyekevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CWT mnaomvimbia kichwa Rais jifunzeni unyenyekevu wa Shaka Hamdu Shaka mtafika mbali vyeo ni dhamana ya muda Tu

    Shortly, Tumesikitishwa sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua, Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya...
  2. SoC02 Tutumikiane kwa unyenyekevu

    UTANGULIZI Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa pumzi na uhai anaozidi kunikirimia katika maisha yangu yote. Pia nawaombea uzima na afya njema jopo zima la JF kwa kuweka jukwaa wazi kwa umma na hasa katika kuhaikikisha ajira kwetu Watanzania. Nawaombea afya njema na uzima waandishi wenzangu...
  3. Maisha ya Simba na somo la Unyenyekevu

    Hakuna kinacho dumu milele. Haijalishi ataishi kwa muda gani, Simba Mkuu hatimaye atakufa vibaya. Hiyo ndiyo dunia. Katika ujana wao, wanatawala, wanafukuza wanyama wengine, wanakamata, wanakula, wanameza na kuacha makombo yao kwa fisi. Lakini umri huja haraka siku hazigandi. Mzee Simba hawezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…