Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Matonya, amekamatwa na kufikishwa mahakamani mjini Mombasa akituhumiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia, katika kesi iliyozua mjadala mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Matonya, ambaye jina lake halisi ni Sefu Shabani Ramadhan, alifikishwa mbele...