unamkumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Aliyekuwa mlinzi wa hayati Magufuli yupo Chato kwenye kumbukizi

    Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi. KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA Picha hii...
  2. Waufukweni

    Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  3. amshapopo

    Unamkumbuka your truly lovely EX kwa lipi? Nini hutosau kamwe pindi umuonapo au kukutana naye?

    Katika mapenzi licha ya purukushani zote zinazotokea but still kuna mazuri ambayo Ex anakuachia yanakua chachu ya ww kumkumbuka. Mimi Ex anilifundisha kujituma na kutafuta hela... Alikuwa ananiambia baba tafuta hela kwa nguvu zote na usiogope nipo tayari kukupa faraja ya kweli. Kweli...
  4. T

    TBT: Kwa Sisi wa Enzi hizo, je unamkumbuka Manyoto Ndimbo Manyoto?

    Huyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie. Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
  5. Emilio Mzena

    Unamkumbuka Esta Chabruma “Lunyamila”

    Leo nimemkumbuka winga hatari wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania “Twiga stars” Esta Chabruma. Huyu dada alikuwa na uwezo mkubwa sana hasa akitokea pembeni, angeweza kufunga magoli au kutoa assist maridhawa (assist) kwa wenzake kiasi cha kufananishwa uchezaji wake na Winga wa...
  6. ESCORT 1

    Mkutano Mkuu wa CCM mwaka 1997, unamkumbuka nani pichani?

    Hapa ni Dodoma, katika mkutano mkuu wa ccm mwaka 1997. Umemtambua mjumbe gani pichani?
  7. Waufukweni

    Tetesi: Unamkumbuka Left footer magician? Rally Bwalya anakaribia kutua Pamba Jiji ya Mwanza

    Maestro Rally Bwalya (Left footer magician), anayejulikana kwa uwezo wake wa mguu wa kushoto, yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake na klabu ya Pamba Jiji ya Mwanza. Bwalya, ambaye kwa sasa anaitumikia Napsa Stars ya Ligi yao ya Zambia, anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya...
  8. emmarki

    Unamkumbuka yule binti uliyesoma naye msingi uliyekuwa unamuona mshamba?

    Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
  9. Penguinelli Cactussini

    Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka?

    Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande?? Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
Back
Top Bottom