Kero yangu ni TANESCO Kigamboni wanatutesa sana, hakuna siku umeme haukatiki na sio mara moja umeme unakatika, kuna muda mpaka mara 10 kwa siku.
Vifaa vyetu vinaungua na hakuna anayelipa, tunaomba sana ujumbe huu uwafikie TANESCO wajue wanatutesa.
Ujumbe huu uwafikie Waziri Mkuu, Waziri wa...