Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amehidi wananchi wake kuwa yuko tayari kupambana dhidi ya umaskini uliokithiri nchini humo.
Rais Tshisekedi ameahidi kuwaondoa raia milioni 20 wa Congo kutoka kwenye umaskini au umaskini uliokithiri katika miaka mitano ijayo na kwamba...