umaarufu wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

    Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau. Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  3. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

    Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye. Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza. Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia sasa unaturudisha kwenye tawala za machifu kweli, au ndo njia ya umaarufu wa kisiasa?

    Anachokifanya Rais Samia ni kuharibu amani ya nchi hii. Tumeishi bila ukabila lakini polepole tunarudishwa kwenye mtafaruku bila sababu. Tunalazimisha kutambua machifu bila sababu. Yaani viongozi wa kiukoo, kikabila Watu hawa wanastahili kuachiwa kabisa nje ya mfumo kama ambavyo imekuwa miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…