Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki)
Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.
Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
UTANGULIZI
Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo.
Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo. Mtu anapozaliwa tunaanza kumfundisha mambo ambayo anayaona kwa damu na nyama. Kwahiyo elimu kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.