Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa Frontline yani mstari wa mbele vitani.
Sasa Larry Madowo kupitia kituo cha CNN kafanya full...
Habari: Putin na Trump Wakutana Alaska Licha ya Shitaka la Kukamatwa na ICC
Anchorage, Alaska — Agosti 15, 2025
Leo Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump wamekutana mjini Anchorage, Alaska, katika kile kinachoelezwa kuwa mazungumzo ya kiwango cha juu kuhusu...
Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu.
Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa.
Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa aliyeitikisa Dunia na Marekani kwa mapigo yake na akili yake ya kipekee ambae kwa karne hii hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.