Wakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk
. Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania.
Hili halijutegemewa lakini ndivyo ililvyo.
Wanaume wengi wamegeuka machawa wamejivisha upofu na ukiziwi.