uko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi udini wa Samia Suluhu uko wapi? Tuzungumze ukweli

    Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi? Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana...
  2. S

    Uko wapi choice variable?

    Najua kwa sasa, tutakuwa pamoja na kusema kauli yetu pendwa ,haki ni tunu ya amani. Choice variable ni muungwana sana, lakini alikunywa kipindi cha nyuma mvinyo wa udhalimu, sasa amepata uponywaji wa nafsi na mwili kwa ujumla, sio kama roboti matope Tlaahtlaah. Lakini tuje na kauli moja kwa...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  4. R

    Chacha Pius (Migungani-Bunda): Uko wapi?

    Mwaka 1985 nikiwa mahabusu pale Bunda, ulinisaida wewe na familia yako mara baada ya kujidhamini mimi mwenyewe mahakamani (Hakimu alikuwa anaitwa Monica). Ulinichukua hadi nyumbani kwenu. Nililala usiku mmoja. Ulinitafutia nauli ya kusafiri hadi nyumbani Tarime. Wakati huo nauli ilikuwa...
  5. W

    Uko wapi pesa, nakuita pesa

    Habarini humu ndani dharau, kejeli na matusi yamekua nimengi sana mtaani. nimeamua kuzima zote kuwasha moja tu. Kelele zimekua ninyingi sana mtaani kuhusu kupata utajiri kwanjia ya kiganga (nazo pia zimekua ngumu kupata) NAHITAJI CONNECTION MOJA TU YAUHAKIKA YAKUNIFANYA NIPATE HIZO PESA...
  6. Leejay49

    Tuambie uko wapi na unauza nini?

    Hellow dear members,. Hope mko poa na kila kitu nikaenda vizuri na kwa wale ambao mna changamoto Jah awafanyie wepesi. Leo bhana nikasema nipitie nyuzi zangu na za baadhi ya members na zote tu ambazo hukuwaga trending mara nyingi,. Nimeona viewers ni wengi mnooo.. Na sitaki kuamini kama hao...
  7. Yoda

    Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

    Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu? Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
  8. Nomadiq

    Mtumishi wa BWANA: Setfree umepotelea wapi? nimekumiss!

    Salamu wanajukwaa. Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani. Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica. Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni mwanga na baraka hapa jukwaani. Heshima mbele, Nawasilisha. Nomadix
Back
Top Bottom