ukiranja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa ukiranja Mkuu amejitahidi sana kuficha uhalisia wake lakini hatimae ameonyesha rangi yake halisi Kuna ushahidi wake aliahidi kutoa miaka ile

    Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

    Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu. Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
  3. El Roi

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu, ongoza vikao na acha ukiranja

    Nikiri kwanza kwamba, baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2020, morale ya kufuatilia siasa za nchi hii imeshuka sana kwangu, ukiachia mbali kufuatilia bunge lenyewe. Namna siasa zinavyotafsiriwa na kufanywa kwenye nchi hii, haitii raha kabisa, kama tunakuwa wakweli wa dhamira zetu. Tunamuomba tu...
Back
Top Bottom