Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa.
Huko wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza,sasa hivi kubwa linaloendelea kwa mila na tamaduni za wakara kwa tukio lile ni "Kutakasana " maana yake kuondoa mkosi...