ukatili wa polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Makamu wa Rais tendeni haki na amani itapatikana automatically. Sijasikia unakemea ukatili wa Polisi unaoendelea nchini

    Nchimbi, hizi ni kauli za kitoto, kitotot na kinafiki kabisa. Hakuna cha kuomba hapa, ni nyinyi mliojivika madaraka kuacha kutenda maovu! Mfano, kulikuwa na sababu gani polisi kuwapiga Bawacha? Umekemea? Kwanini mnamuweka Lisu gerezani bila sababu? Halafu unasema kuomba!
  2. Cute Wife

    Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚 Sote tunajua kuwa mtu huyu...
  3. Waufukweni

    Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  4. Cute Wife

    Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi

    Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
  5. Cute Wife

    Polisi kuendelea na ukamataji usiozingatia taratibu: Hawajasikia maagizo ya Simbachawene? Wanafuata maagizo ya nani?

    Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja. Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
  6. Malisa Godlisten

    PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

    Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili. Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia...
  7. mshale21

    PostGE2025 Kwa ushahidi wa videos mbalimbali juu ya ukatili wa polisi dhidi ya wananchi Oct 29-31, Naona kisasi kinakuja muda si mrefu

    Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi inavyoelezwa , lakini pia naiona vita ya kulipiza kisasi kati ya wananchi walioteswa, Walionyanyasika ...
  8. McLaren

    Sakata la Kinyerezi: Hivi ndivyo majirani 8 walivyouwawa kwa kupigwa risasi na askari polisi

    Wakuu, Mnakumbuka ile stori iliyokuwa inatrendi siku kadhaa nyuma kuhusu afisa wa polisi mstaafu aliyeuwawa kwa kupigwa risasi huko Tabata. Sasa mkasa mzima huu hapa. Kilichofanyika ni kitendo cha kinyama sana. Stori nzima iko hapo n=chini -------------------------- Mpaka sasa kunguru na nzi...
  9. Cute Wife

    GE2025 Ukivaa nguo za CHADEMA, au kuongelea maandamano unawekwa gerezani hadi uchaguzi upite, jishikilie huo mdomo mpaka MO29!

    Wakuu, Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
  10. M

    GE2025 Jeshi la Polisi: Atakayethubutu kuvunja sheria Oktoba 29 asitulaumu kwa hatua itakayochukuliwa dhidi yake

    Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani. Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa...
  11. M

    GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Hatusikii walioapa kulinda Uhai wa Watanzania Kulaani au Kukomesha Utekaji na Kutoweka kwa watu

    Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
  12. Cute Wife

    GE2025 Kazi ya Polisi na Vyombo vya Uchunguzi ni nini kama mtu akitoa taarifa anatakiwa atoe ushahidi?

    Wakuu, Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa...
  13. Cute Wife

    GE2025 CHADEMA: Toka Oktoba 1 hadi 9, 2025 wametekwa watu 13! Ni karibu watu wawili kila siku!

    Salam Wakuu, Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni! Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
  14. Luca Paguro

    GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

    Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
  15. Cute Wife

    GE2025 Fanya hivi ili usidakwe kirahisi na 'wanamtandao' wanapokutafuta kupitia Instagram

    Wakuu, Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde. Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
  16. Mafyangula

    GE2025 Golugwa awaka vikali wanachadema waliopigwa na polisi mahakamani. Endelea kuja kusikiliza kesi ya Lissu

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa akiongea na Wanahabari leo Oktoba 07, 2025 nje ya Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam amewasihi wananchi na wananchama wa chama hicho kujitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wao wa Taifa, Tundu Lissu. Sambamba na hilo Golugwa awaonyesha...
  17. Cute Wife

    GE2025 Bashe wa 2017 alikemea utekaji akitaka Sheria ifuatwe. Je, Bashe wa sasa anaweza kutamka hayo?

    Wakuu, Aprili 7, 2017 Bashe aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter (X), "Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi. Kama mtu ana makosa ufatwe utaratibu wa kisheria kumkamata sio utekaji." April 10 akiwa bungeni aliweka hoja mezani akiomba bunge liahirishe...
  18. Black Opal

    Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  19. Idugunde

    Ukatili wa polisi na mahakama isio huru ni dhahiri kuwa taifa linahitaji mabadiliko. CHADEMA ya Lissu ipo sahihi

    Taifa linahitaji katiba ambayo mkuu wa jeshi hata kama akiteuliwa na raisi kama Amiri jeshi mkuu aweze kushtKiwa na kuwajibishwa kisheria. Jaji mkuu aombe nafasi hiyo kama anaomba ajira. Ili akiajiriwa asiwe na upendeleo. Sio kuteuliwa na kupendelea aliyemteua. Watu wanapigwa mahakamani. Jaji...
  20. Damaso

    Ukatili wa Polisi, Kumbukeni tunaishi wote pamoja kwenye jamii hampo mbinguni

    Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imekuwa ikishuhudia matukio yanayoacha maswali mengi miongoni mwa wananchi: matumizi ya nguvu kupitiliza na ukiukwaji wa sheria na kanuni za Jeshi la Polisi. Katika matukio mbalimbali ya kukamata waandamanaji, kutawanya mikutano au kufuatilia visa vya uhalifu...
Back
Top Bottom