Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya “kuwapatia nyavu na kuwafundisha uvuvi badala ya kuwapa samaki”, warsha za Luban zimejitahidi kuendeleza...
Wazazi wengi wamekuwa na maono mafupi kwa kuwa wagumu kurudi nyuma kuiona picha kamili ya maisha ya watoto wao.
Wazazi wanahangaiko mtoto ajue kutafuta thamani ya X, kujua log 10 = 1, kukariri definitions, n.k.
Elimu yetu kwa hayo yote bado inamuandaa mtoto abanwe kutumia alichojifunza kwa...
Hivi karibuni, kuna jambo moja ambalo vijana wengi wanaanza kugundua—cheti chako cha chuo si tiketi ya moja kwa moja kupata kazi.
Unaweza kuwa na GPA ya 4.8 lakini bado ukakaa nyumbani bila kazi, wakati mwingine mwenye GPA ya 3.0 akipewa nafasi. Unajiuliza, hii ni bahati mbaya au kuna kitu...
Hata humu sijaona wadau wa maendeleo kama LIKUD na wengine team kataa EMS.
Mada za kijingajinga ndo zinapewa airtime😀😀😀.Hili taifa limekumbwa na nini???!!!
Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
Na Kevin Lameck
Dunia inapoadhimisha siku ya Vijana hii leo, yapo baadhi ya mambo yaliyofanywa na kutekelezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye kuwakwamua dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakwaza Vijana.
Changamoto kubwa inayotajwa nchini Tanzania miongoni mwa Vijana wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.