ujumbe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Weka 'Alerts' Google ili upate ujumbe kila taarifa zako zinapoandikwa mtandaoni ili Ujilinde kwenye Mitandao

    DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts 2. Andika jina lako au taarifa unayotaka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
  3. JamiiForums Tanzania Wahitimu wa elimu ya juu, ujumbe wenu huu hapa

    Mhadhara 32: Lipo kundi la vijana waliohitimu elimu ya juu ambao watazeeka bila hata kumiliki viwanja vya kujenga nyumba ambavyo kwa sasa vinapatikana hadi kwa Tsh 1,000,000. Ni kwasababu kundi hili la vijana wenye elimu za juu wanasubiri ajira za ofisini zitakazoendana na GPA zao za vyuoni...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa soma hapa ujumbe huu uongeze kitu kichwani mwako

  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tigo someni hapa kuna ujumbe wenu

    Millicom International Cellular has finalized the sale of its Tanzanian division, completing its multi-year divestment strategy from Africa to focus exclusively on Latin American markets. The sale of Tigo Tanzania to the pan-African group Axian was first announced in April of last year...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Ayatollah Khomen kwa Israel Hawezi Mshinda vita Hezbullah

    Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja. Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa watawala wetu.

    Ndugu zangu watawala, hali ilivyo sasa katika Nchi yetu si nzuri sana kimahusiano. Umoja,upendo na amani vinaweza kupotea kutokana na uzembe mdogo mdogo wa watu wachache. Juzi katika harakati za kuzima maandamano ya CHADEMA askari polisi wametumia nguvu kubwa mno kana kwamba Nchi yetu imevamiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amefikisha ujumbe duniani. Na amethibitisha ni shujaa

    Shujaa wa wiki hii
  10. JamiiForums Tanzania Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

    Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia uimara ,weledi ,uzalendo ,utayari, ushupavu, umadhubuti,umakini na uhodari wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Msione watu wanalala kwa usalama huku milango wakiwa wameweka tu misumari kama komeo na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

    Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili ya kupewa majukumu ya kifamilia kwa wadogo zake au biashara (kama zipo), kupunguza gharama za kulea...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aongoza ujumbe kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

    NUKUU "Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA Pia soma: Kuelekea 2025...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe aliotumiwa Lema ukionesha vitisho kwenye maisha ya Lissu ni kweli umetoka kwa Lissu mwenyewe?

    Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
  17. JamiiForums Tanzania Siku kadhaa kupita bila majibu baada ya TelAviv kudundwa na ballistic kutoka Yemen kuna ujumbe mzito.

    Siku droni ya houthi ilipoweza kupenya mpaka TelAviv na kupiga jengo liliosababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi kadhaa,papo kwa papo asubuhi yake tukasikia bandari ya Hodeida imeshambuliwa. Kwa shambulio la ballistic hapo juzi na kupita siku mbili bila majibu kuna mambo mengi ya kujiuliza...
  18. JamiiForums Tanzania Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

    Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu. Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Hamis Kagasheki amemaanisha nini kwenye ujumbe huu?

    Ndugu zangu Watanzania, Soma ujumbe huu wa Mheshimiwa Balozi Hamis Kagasheki useme alimaanisha nini.soma kwa kutulia na ujibu baada ya kutafakari na kuelewa na siyo ukimbie mbiombio kujibu tu Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe Maalum kwa Wazazi: Wandikie Baba na Mama ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia

    Moja kwa moja kwenye mada. Leo tu waandikie wazazi wako ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia hadi sasa upo hivyo ulivyo. Haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki, wewe andika neno zuri la shukrani na heri juu yao. Mungu barikii wazazi wetu na uwalaze pema wazazi waliotutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…