ujenzi wa shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Mwananchi amwambia Mwigulu Nchemba "Diamond alituahidi Milioni 60 kuchangia ujenzi wa Shule, hajatekeleza"

    Mwananchi mmoja mkazi wa Mtaa wa Senti, uliopo katika Wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, ametoa malalamiko yake kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, akieleza kuwa hadi sasa ahadi iliyotolewa na msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ya kuchangia kiasi cha...
  2. Roving Journalist

    Mwigulu: Kuanzia sasa ujenzi wa shule uzingatie madarasa 10, yatahitajika madarasa 39,000 kukidhi mtaala mpya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wanaosimamia sekta ya elimu kuanzia sasa waanze kujenga shule zitakazokidhi mahitaji ya mtaala mpya wa elimu ifikapo mwaka 2028. “Tulikuwa na vikao hivi karibuni, niliagiza ujenzi wa shule za sekondari nchini kuanzia sasa hivi uzingatie kuna...
  3. BigTall

    Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Dar es Salaam kuanzisha ujenzi wa Shule za Ghorofa kukabiliana na msongamano wa Wanafunzi

    Katika juhudi za kukabiliana na ongezeko la idadi ya watu katika Mkoa wa Dar es Salaam, uongozi wa mkoa huo umeamua kuanza rasmi ujenzi wa shule za ghorofa na kuachana na ujenzi wa shule za majengo ya kawaida ya chini. Kauli hiyo imetolewa leo, Septemba 16, 2025, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  5. R

    GE2025 Serikali ya awamu ya sita imetoa Bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Mkoani Mara

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara pamoja na shule ya Amali Butiama (Butiama Technical Sec School) Fedha hizo zimetolewa...
  6. Miss Zomboko

    PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  7. USSR

    PreGE2025 Eng Ezra Chiwelesa: Rais Samia amefanikisha ujenzi wa shule za kisasa jimboni

    UJENZI WA MADARASA 9 YA KISASA SHULE YA SEKONDARI BIZIMYA. Ni kazi ya usimamizi wa kiwango cha juu kutoka kwa mbunge wa kudumu wa biharamulo Mh Eng Ezra Chilewesa ,serkali ngazi ya wilaya ya biharamulo, Halmashauri ya wilaya chini ya chama dume chama cha mapinduzi ndio unaona madarasa haya ya...
  8. upupu255

    PreGE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 UWT Lindi wamshukuru Rais Samia kwa ujenzi wa Shule ya TSh. Bilioni 4.1

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mkoa wa Lindi, wamempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Kanda ya Kusini katika eneo la kata ya Kiwalala Halmashauri ya Mtama inayogharimu kiasi cha Tsh 4.1 Bilioni . Akizungumza...
  10. Just Pray

    RC Lindi aiagiza halmashauri ya Mtama kusimamia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  11. upupu255

    PreGE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  12. Just Pray

    Serikali imekamilisha ujenzi wa shule ya sekondari, Wanafunzi wamezeshwa script iliyowasaliti kumsifia Rais Samia

    Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni 560. Kwa kipindi kirefu wanafunzi wa kata hiyo, wamepitia mateso ya kutembea umbali umrefu kwenda...
  13. Just Pray

    Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

    Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
  14. Just Pray

    Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  15. Just Pray

    RC Lindi aagiza usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu Halmashauri ya Mtama

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa shule na miundombinu hiyo ya elimu yenye thamani ya Bilioni 7.8 Soma pia: Pre...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  17. JanguKamaJangu

    TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  18. Just Pray

    Kondoa, Dodoma: Ujenzi wa shule ya sekondari iliyogharimu milioni 544, wanafunzi wapya watakiwa kufanya vizuri kwa kupata daraja la kwanza

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Shaban Millao amewataka wanafunzi wa shule mpya ya Mnenia Sekondari kufanya vizuri kwenye mitihani yao na kuhakikisha kwamba wanapata Daraja la Kwanza (Division One) wote kwani wao ndio wanafunzi wa kwanza hivyo wanapaswa...
  19. Just Pray

    Katika sherehe za miaka 48 ya CCM Ludewa, mbunge ahaidi kukamilika kwa ujenzi wa shule ya sekondari mwezi Machi wanafunzi wasisafiri umbali mrefu

    Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata elimu. Kwa hatua za awali Tayari madarasa mawili yapo mwishoni kukamilika na Mbunge wa Jimbo la...
  20. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 11 zimetengwa ujenzi wa Shule 10 za Michezo

    BILIONI 11 ZIMETENGWA UJENZI SHULE 10 ZA MICHEZO Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Sima imepokea na kujadili taarifa kuhusu maendeleo ya Sekta ya Michezo ikiwemo ujenzi wa Shule 56 za michezo nchi nzima, ambapo umeanza na Shule 10...
Back
Top Bottom