ujenzi wa nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  2. Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

    Habari za asubuhi Ndugu zangu, Naombeni mnisaidie bajet ya kununua tofali za block 3000 hapa mbeya.
  3. Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF πŸ‘‹ Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  4. Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  5. S

    Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  6. Tofauti ya zamani na sasa katika ujenzi wa Nyumba za kuishi!

    Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na...
  7. PreGE2025 Shamira Mshangama achangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UVCCM Mkinga

    Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Shamira Mshangama, akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana CCM na kuhamasisha ushiriki wa vijana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Shamira ameshiriki kama Mgeni wa heshima katika kufungua kikao cha Baraza...
  8. Mbunge Tauhida Gallos na Ujenzi wa Nyumba za Makatibu UWT Mkoa wa Magharibi na Wilaya (Dimani na Mfenesini)

    MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025 alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mbunge amekabidhi fedha kwa ajili ya...
  9. Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    π’π„π‘πˆπŠπ€π‹πˆ π˜π€π…π”ππ†π”π€ πŒπˆπ‹π€ππ†πŽ π˜π€ π”π–π„πŠπ„π™π€π‰πˆ πŠπ–π„ππ˜π„ π”π‰π„ππ™πˆ 𝐖𝐀 ππ˜π”πŒππ€ 𝐙𝐀 πŒπ€πŠπ€π™πˆ Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
  10. Miradi ya ujenzi wa nyumba mitandaoni

    Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?
  11. Kwa bajeti ya Milioni 30, naweza kuhamia nyumba yenye sifa hizi?

    Eti wakuu kwa bajeti ya milioni 30 naweza kuamia nyumba ya vyumba vinne yenye kiofisi na prayer room ndogo huku nikiwa sijamalizia finishing nyingine? Location: kanda ya ziwa Ukubwa nyumba: 13.5m x 8.65m Ina fence ya ukuta Karibuni wakuu.
  12. PreGE2025 Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma

    Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma. Mradi huu unahusisha ujenzi wa nyumba 3,500 ambapo tayari ujenzi wa Awamu ya Kwanza ya nyumba 150 umekamilika kwa gharama ya shilingi bilioni 14.37 na tayari...
  13. PreGE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  14. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  15. Hii confidence ya kununua nyumba za watu na kuzifanya makazi mnapata wapi?

    Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo. Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila...
  16. PreGE2025 Mary Chatanda ashiriki ujenzi wa nyumba ya mjane wa Nyama ya Swala, Maria Ngoda

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama ya Swala' nyumba ambayo inajengwa kutokana na jumuiya hiyo kutoa kiasi cha fedha kwa ajili ya mkono...
  17. Msaada gharama za ujenzi wa nyumba ya floor moja ikiwa boma bila finishing

    Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expΓ©rience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
  18. H

    Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

    Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii
  19. Kupauka kwa bati. Je, Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu?

    Wakuu bati zangu zimeanza kupauka ndani ya miaka 5 toka nipaue Aina yake ni zile za migongo mipana. Je Kuna rangi nikipaka itadumu kwa kitambo kirefu? Naomba kuwasilisha
  20. We do design and construction services

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES APPARTMENT VILLA EACH UNIT 2BEDROOM PLOT SIZE 20X30M CALL/WHATSAP +255624004650 VISIT OUR OFFICE SINZA PALESTINA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…